christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Haaaahaaahaaa mkuu umeongea kwa uchungu sana.Hiyo lugha ya "kulamba asali" ni ya maudhi sana. Ukiulizwa utueleze hiyo asali inalambwaje unaweza kueleza? Wewe mwenyewe uko nyuma ya keyboard huku ukitumia fake ID, halafu uko frontline kubeza watu wanaojitolea muda, rasilimali na uhai wao kurekebisha mambo. Afadhali wao wamefikia hapo, wewe mchango wako ni upi? Si ujitokeze unyooshe yaliyoshindikana ili tukuone kidume?
Hiyo ni danganya toto on the ground watu wanalamba asali maridhiano gani ya watu watatu!?
Chama kinajinasibu kina wanachama zaidi ya 10m ila maridhiano yanafanyika hata
makamu mwenyekiti hajui nini mnaridhiana.
Itakuwa bado hujalamba asali ndio maana unasema hivyo muulize DJ utamu wa asaliUtaelewa tu...hata mbeleko ulilo zoea litakukataa
Pole sana ndugu, ndio imeshakuwa. Mikutano ambayo ulitamani iendelee kuzuiwa sababu ulikuwa unafaidika na zuio hilo ndio hiyo imesharuhusiwa.Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena stori za katiba mpya, anasubiri tena maridhiano 2028.
Mbowe na Asali ni Uji na Mgonjwa Slaa alikuwa na dhamira njema kumbe mwenzake shida yake ni buyu la asaliCCM waliporuhusu vyama vingi 1992 wakati ambao 80% ya wananchi walikuwa wamevikataa,
Unaamini pia NYERERE na CCM walikuwa wamehongwa?
Kwa hiyo makamu mwenyekiti hatakiwi kujua maridhiano yanahusu nini hukuMazungumzo Bado yanaendelea hayajafika mwisho. Tusiwe na haraka.
akijisikia tu saivi yupo magogoni analamba asali ubaya ni kwamba hataki kulamba na wenzakeMbowe na Asali ni Uji na Mgonjwa Slaa alikuwa na dhamira njema kumbe mwenzake shida yake ni buyu la asali
walioanzisha mama anaupiga mwingi, mama anaponya nchi, sukuma gang, mama msikivu ni chadema wakiongozwa na hilda newton usijitoee ufahamu
J4 KingaiNi wazi umeumia kwa maamuzi ya rais wetu mpendwa, pole sana. Wewe ni sadist bila shaka.
Sasa mbona maridhiano anayofanya DJ makamu mwenyekiti hajui anaridhiana nini!?
kura itategemea busara za mwenyekiti wa ccm akiamua anaweza kuwapa hata negativeSawa mkuu. Tunasuburi hiyo kura moja. Ila nakumbukuka CHADEMA walizuiliwa kufanya mikutano ya nje na ndani kwa miaka mitano , ila uchaguzi ulipofika watu wakazima internet na twitter , na kufanya uharamia. Lakini bado hawakupata kura moja. Sasa najiuliza ukiwapa CHADEMA Uhuru wa kufanya siasa miaka mitatu yote watapata kura ngapi?
Samia anafikiria misaada na mikopo ya wahisani. Vyote hivyo kafanya kufurahisha wadau wa maendeleo, hivi hamwezi kusoma tabia za watu? CCM hawana mpango wa kuwapa madaraka chama chochote kwa njia ya kistaraabu.
Nakukumbusha mkuu..Sawa mkuu. Tunasuburi hiyo kura moja. Ila nakumbukuka CHADEMA walizuiliwa kufanya mikutano ya nje na ndani kwa miaka mitano , ila uchaguzi ulipofika watu wakazima internet na twitter , na kufanya uharamia. Lakini bado hawakupata kura moja. Sasa najiuliza ukiwapa CHADEMA Uhuru wa kufanya siasa miaka mitatu yote watapata kura ngapi?
Hamna upinzan Tena..
Hamna namna ya kumpa mrejesho akiwa huko nje!?Makamu Mwenyekiti yupo nje ya nchi . Wapo wajumbe watano wa CHADEMA kwenye mazungumzo.
wote walamba asali sema mwenyekiti wa ccm ndio anatembea na kibuyu cha asali anachagua nani
amlambishe ukiona mtu analalmika ujue bado hajalambishwa kam Lisu na Lema
Kwa hiyo makamu mwenyekiti hatakiwi kujua maridhiano yanahusu nini huku
unasema chama ni mali ya umma!?