Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
Napendekeza uchaguzi wa 2020 ufutwe tu JPM aendelee hadi atakapochoka au sisi tutakapochoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kitapita.......Pole Tanzania CHADEMA itapita tu lakini Tanzania itadumu milele
Utajipanga vipi kama hata form huwezi kurudisha!Hiyo Ndio demokrasia
Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine
TLP itatoa ushindani sasa
Uko sahihi sanaHaya mambo mnayafurahia ila mwisho wake ni mbaya sana kwa CCM.
Dhambi hii haiwezi kuwaacha salama, kitakachowakuta ni kugawanyika wenyewe kwani hata 2020 mtakuwa na timu ndani ya CCM na uchaguzi ukiisha mtaanza kunyoosheana vidole wenyewe msijue adui yenu ni nani na hapo ndio maandiko yatatimia.
Wanajua sisi ni wasahaulifu, tumesahau haya majamaa yalisema hawaitambui serikali hii ya awamu tano, sijuhi plan ya kuisusia iliishia wapi?Ila hii strategy ya kususa imefeli miaka yote!
Kwa nini msibadilishe action plan?
Dhulma ya wazi kabisa imetendeka hapa si kwa CDM tu.
It's high time now mtoke nyuma ya keyboards tuone ukamanda wenu.
Sasa kama walisusia Ccm si waloendelea na wakapitisha?Chadema walisusia katiba mpya, hatimae leo wanapata walichokitaka
Tusifurahie sana Vyama vya upinzani kujiengua kwenye Uchaguzi. Hii ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Wazee wenye Busara lisaidieni Taifa.
Kama wewe ulivyokichaa kuandika hoja ya kichaa humuNi kichaa tu ndiyo anaweza kushiriki uchaguzi huu wa kihuni
Ni vizuri sasa ACT,NCCR,CUF na TLP Nao watoe tamko kususia uchaguzi.
Sawa mama Jaffo.Kama wewe ulivyokichaa kuandika hoja ya kichaa humu