CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

If you ask me, I'd say that the opposition in this country is investing more in efforts to gain sympathy from 'donor countries' than using that energy to organise and mobilise their people to stand up for what is right. Donors -- not the people -- are the go-to guys!
 
Leo nimemsikiliza ndg.Polepole akizungumza na waandishi wa habari kwa kweli vyama vya upinzani havina sababu ya msingi kususia uchaguzi kwani makosa yamefanywa kwa uzembe wa wagombea wao wenyewe, na hilo ni fundisho kwa vyama vya upinzani, kuwa wanahitaji elimu ya kutosha. uchaguzi sio lelemama!
 
Hongera sana CHADEMA kwa uamuzi wa busara. Hakuna haja ya kushiriki Ubakaji wa Demokrasia. Acha wachukue tuone hayo maendeleo ya kasi ambayo Wapinzani walikwamisha.
 
Nashangaa waziri kushangaa, wakati tayari wenyeviti wameshapatikana? Au pengine hajui nini kimetokea?
 
Haya mambo mnayafurahia ila mwisho wake ni mbaya sana kwa CCM.
Dhambi hii haiwezi kuwaacha salama, kitakachowakuta ni kugawanyika wenyewe kwani hata 2020 mtakuwa na timu ndani ya CCM na uchaguzi ukiisha mtaanza kunyoosheana vidole wenyewe msijue adui yenu ni nani na hapo ndio maandiko yatatimia.
Uko sahihi sana

Wapinzani ndio wanawafanya CCM wawe wamoja
wakobaki peke yao watapingana wao kwa wao
 
Maneno mengine hata shetani anashangaa kama yametamkwa na mhusika
 
Maneno mengine hata shetani anashangaa kama yametamkwa na mhusika
 
Ila hii strategy ya kususa imefeli miaka yote!

Kwa nini msibadilishe action plan?

Dhulma ya wazi kabisa imetendeka hapa si kwa CDM tu.

It's high time now mtoke nyuma ya keyboards tuone ukamanda wenu.
Wanajua sisi ni wasahaulifu, tumesahau haya majamaa yalisema hawaitambui serikali hii ya awamu tano, sijuhi plan ya kuisusia iliishia wapi?
 
Zito ameokota dodo chini ya mgazi aka mti wa mawese kigoma wanita mise

Soon ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani

State agent
 
Nini maana ya John the Baptist?
 
Tusifurahie sana Vyama vya upinzani kujiengua kwenye Uchaguzi. Hii ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Wazee wenye Busara lisaidieni Taifa.

Kuendelea kushiriki chaguzi zenye uhayawani wa wazi hivyo kwa maagizo ya mtu mmoja, ni ujinga wa kiwango cha juu.
 
Mimi naona mfumo wa Vyama vingi umefeli nchii hii turudi tu huo mfumo wa chama kimoja hadi kizazi cha 1961 kitakapoisha labda wajukuu wetu watauweza!
 
Ni vizuri sasa ACT,NCCR,CUF na TLP Nao watoe tamko kususia uchaguzi.

Hao hata wakishiriki ni sawa tu, chama hasa cha upinzani kinaeleweka ni cdm. Hao wengine wakisusia watalazimisha umoja huko mbele kisha watumike kuvuruga upinzani.
 
Nampongeza Mbowe kwa uamuzi huu japo umechelewa! Tuwaache Maafisa Watendaji Kata watekeleze maagizo waliyopewa walipokwenda magogoni:
 
Back
Top Bottom