The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Wala siyo uchaguzi huu, ni UBAGUZINi kichaa tu ndiyo anaweza kushiriki uchaguzi huu wa kihuni
Nina post zaidi ya moja huku jukwaani kuhusu hilo.
Sasa vyama vingine ACT, NCCR nk vitangaze kujitoa ili hata upinzani CCM B kama CUF, TLP na UDP vikiungana na mume wao CCM hata wakiendelea shauri yao.
Chadema imefanya vizuri kusubiri hadi hatua hii ili ushahidi wa uzandiki wao uwe wazi
sasa wangeshiriki kwa wagombea gani wakati wagombea wote wamekatwa?Kwani hata kama mngeshiriki mgeshinda? Mmekimbia aibu ambayo mngepata, hamna lolote
Wangefanya unavyotaka, wangefutwa na msajili. Hivi walivyofanya ndio sawa, walionyesha nia lakini makando kando yamewaodoa.Wamechelewa sana. Tuliwaambia wahimize watu wasijiandikishe, wao wakahimiza waende kujiandikisha. Hawa jamaa sijui kwa nini ni wagumu sana kuona hali halisi.
Well said kuna ushahidi wa kutosha na sababu za kutosha watu kujibu kisasi watakavyo ,kijani hakitavalika mtaani, sitarajii yeyote kushangilia ushindi feki.Sasa vyama vingine ACT, NCCR nk vitangaze kujitoa ili hata upinzani CCM B kama CUF, TLP na UDP vikiungana na mume wao CCM hata wakiendelea shauri yao.
Chadema imefanya vizuri kusubiri hadi hatua hii ili ushahidi wa uzandiki wao uwe wazi
Wazee Hawa mnaosema wanawashwa washwa??Tusifurahie sana Vyama vya upinzani kujiengua kwenye Uchaguzi. Hii ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Wazee wenye Busara lisaidieni Taifa.
Ni vizuri sasa ACT,NCCR,CUF na TLP Nao watoe tamko kususia uchaguzi.
Utashangaa sana pale hivyo vyama vitaendelea na uchaguzi kama kawaida. Umoja ni sifuri,ubinafsi mbele. |
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili
Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha Kamati Kuu ya dharura ya chama kilichofanyika mkoani Dodoma
Jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema alisema Kamati hiyo itakutana leo kutoa msimamo wao wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia soma
Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa
Huyo anayeandika "Amekizi vigezo" ni mtumishi anayelipwa na serikali?!www.jamiiforums.com