CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Solution ni kuitisha maandamano kama kule mashariki ya kati na maandamano yaanze katika zile siku ambazo kuna mikushanyiko ya watu kwa mfano siku za sherehe za siku kuu, sherehe za uhuru au siku ya mechi ya simba na yanga. Siku kama hizi ndizo siku nzuri za kumobilize watu na maandamo yanakuwa unstoppable. Ila kwa kupanga siku maalum ambayo hakuna miusanyiko mkubwa wa watu itakuwa vigumu.
 
Enzi za demokrasia ccm wali-propagate sana kwamba wapinzani ni waroho wa madaraka na kwahiyo "wasipewe nchi" kwa hofu kuwa watamwaga damu. Nashangaa miaka hii sisikii kabisa kauli hii badala yake miaka hii wao ndo wanatamani lakini wapinzani wamekuwa mstari wa mbele kuepusha hilo. Hongereni CHADEMA kwa maamuzi ya busara.
 
Uamuzi mzuri huu kutoka chadema.Ni huzuni pandikizi hili lina haribu utaratibu wa nchi yetu.
 
Chadema tumejotoa ilana wana CCM huko mitaani mujiandae kufanya mazishi mengi sana kwa wafuasi and viongozi wenu. YUTAFANYA AMBAYO DUNIA ITAISHANGAA TANZANIA!
 
siasa ni sayansi
by Dr Slaa
chama hakitoi elimu ya uchaguzi kwa wagombea
wagombea wanakosea hata kujaza fomu!
sasa mnamlaumu nani
Kamuulize maalim Seif, ukisusa cc wanakula kweli!

Sema chadema haikujipanga

Na uchaguzi wa mwenyekiti mfanye,siyo kulilia demokrasia wakati ndani ya chama hakuna
 
Mbowe hoyeee kwa maamuzi haya nakuunga mkono .Na naiomba chadema wakupe uenyekiti wa Chadema taifa awamiu nyingine.Chadema haitakuwa na kiongozi wa mtaa nchi nzima.

WazanZibari mpooo safari hi zamu yetu kusaidiwa kukamata serikali za mtaa nchi nzima.Mbowe kacheza Kama Maalimu Seif sharrif Hamadi uchaguzi mkuu wa 2015 ambapo alitangaza CUF kususia uchaguzi wa wabunge na Baraza la wawakilishi matokeo yake Zanzibar hakuna mbunge Wala diwani wa CUF ni CCM tu inapeta baada ya kusaidiwa ushindi wa kishondo na Maalim Seif.

Safari hii CCM tumesaidiwa na Mbowe tumuunge mkono uchaguzi mkuu wa Chadema ashinde kwa kishindo.

Natangaza humu rasmi kuondoa tofauti zangu na Mbowe simsemi vibaya tena
 
Tanzania inahitaji upinzani ili kuleta changamoto kwa chama tawala kwa ajili ya maendeleo.

Pindi hawa wana CCM wanaogeuza siasa kama michezo watakapogundua kuwa upinzani umemalizwa na hawana tena cha kushangilia basi watajikuta wanashindana kushangilia vitu vya kijinga tu kama vile jinsi mfalme alivyovaa suti na kumpendeza, eventually wenye akili kati yao watagundua na kujilaumu kwa kubariki uuaji wa upinzani nchini.
Mwenzao Nyerere alyaona haya miaka 50 baada na yeye kudhani mfumo wa chama kimoja ndiyo sahihi, lakini alipokuwa nje ya utawala akagundua hypocricy iliyopo ndani ya chama kimoja, yaani watu kushangilia lolote ilimradi wapate shibe badala ya kuumizwa kichwa na mambo ya wananchi!
 
Uamuzi sahihi, na hiki ndicho tulichokuwa tunashauri. Nashukuru sikujiandikisha,sikutaka kuwa sehemu ya upumbavu.
 
Wamechelewa sana. Tuliwaambia wahimize watu wasijiandikishe, wao wakahimiza waende kujiandikisha. Hawa jamaa sijui kwa nini ni wagumu sana kuona hali halisi.
Mkuu hilo lingekua kosa na wangeshtakiwa..as kujiandikisha ni haki ya mtu..hata sasa hawakukatazi kupiga kura ila mtu akapige na kuchagua ki mpango wake....haya mambo yanahitaji umakini kwa nchi zetu ili usije ukatoa tamko la kuvuruga amani..ila la kuambiwa unajiongoza ...
 
Back
Top Bottom