Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Nimefurahi kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mara yao ya kwanza kujitoa!Tusifurahie sana Vyama vya upinzani kujiengua kwenye Uchaguzi. Hii ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Wazee wenye Busara lisaidieni Taifa.
Angalau sasa Jafo na maafisa tendaji watapumua na kuwa karibu na familia zao kwani wengine walikuwa wakilala nje ya ofisi zao kwa ajili ya kukwepa kupokea na kutoa fomu za wapinzaniMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili
Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha Kamati Kuu ya dharura ya chama kilichofanyika mkoani Dodoma
Jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema alisema Kamati hiyo itakutana leo kutoa msimamo wao wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia soma
Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa
Huyo anayeandika "Amekizi vigezo" ni mtumishi anayelipwa na serikali?!www.jamiiforums.com
Naona kuna Faida chache na Hasara nyingi kwa CHADEMA Kujitoa katika hizi Chaguzi. Sauti zao za Malalmiko huenda zingesikika kwa uharaka na kupatiwa Ufumbuzi hata Kimataifa. Maamuzi yao haya ni ya Kimhemko, Kimkakati na Kipropaganda zaidi.
Sizitaki mbichi hizi!Acha wafurahie walochokipanda maana hawahitaji ushindani wanataka kushinda kwa lazima.
Sizitaki mbichi hizi!
"THUBUTU"Kanali kinana,luteni makamba,Kanali kikwete, comrade mangula,cigwiyemisi john malechela,mkapa,mzee msekwa na wengine wakongwe,hapa ndo pakuonyesha ukomavu wenu.
Jahazi linaanza kutoboka hivyo.
wacha Dunia ijue aibu ya jiweNaunga mkono hoja,huwezi kushiriki katika uchaguzi wa kiboya kama wa mwaka huu
alisema Lisu tukampuuzaThat's good decisions
Nothing to care katika huu wanaouita uchaguzi, hii sasa ni kama alert kwamba nin wanatakiwa wafanye against next general election
Jamaa huyu si wakumchekea, anaharibu nchi
Magufuli lazima apatiwe dawa mapema upinzani ulichelewa sana kufanya maamuzi dhidi ya huyu jamaa
Sasa hivi Magufuli ashaota mbawa, kiburi kimemjaa
Tunaunga mkono juhudi za mh. MAGUFULIWatumishi wa umma