vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,233
Solution ni kuitisha maandamano kama kule mashariki ya kati na maandamano yaanze katika zile siku ambazo kuna mikushanyiko ya watu kwa mfano siku za sherehe za siku kuu, sherehe za uhuru au siku ya mechi ya simba na yanga. Siku kama hizi ndizo siku nzuri za kumobilize watu na maandamo yanakuwa unstoppable. Ila kwa kupanga siku maalum ambayo hakuna miusanyiko mkubwa wa watu itakuwa vigumu.