vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,233
Muda mrefu nimesema kuhusu uchaguzi huu wa kishamba.Ni kichaa tu ndiyo anaweza kushiriki uchaguzi huu wa kihuni
Uchafuzi huu na mwingineo wowote wanapaswa kuachiwa majuha ili wapate majuha wao waweze kukamilisha ujuha utakaoanika ujuha wao.Ni kichaa tu ndiyo anaweza kushiriki uchaguzi huu wa kihuni
Apendwe na nani yule...Eti jiwe anapendwa sana, sasa kama anapendwa uhuni wote huu ni wa nini?
CHADEMA NDIO WANAKIMBIA ULINGONI KUTAFUTA HURUMA YA MABEBERU SASA NA MWAKANI MKIMBIE TENAAliyeweka mpira kwapani humjui au unajivisha upumbavu ?
Yaani chadema leo wamefanya maamuzi niliyokua natamani, utashirikije uchaguz wa kipumbavu namna hii! hacha wajichague wenyeweUlikuwa ni upumbavu kushiriki uchaguzi wa kipumbavu uliondaliwa na watu wapumbavu kuja kuleta matokeo ya kipumbavu!
TLP hii ya Mrema? Acha utani.Ni vizuri sasa ACT,NCCR,CUF na TLP Nao watoe tamko kususia uchaguzi.
ulingo uliofungwa tunaukimbiaje ?CHADEMA NDIO WANAKIMBIA ULINGONI KUTAFUTA HURUMA YA MABEBERU SASA NA MWAKANI MKIMBIE TENA
Mbowe mjanja sana. Kaona game tight kaamua kuweka Moira kwapaniSasa rasmi mapambano ya porini yameanza rasmi
Asante Mungu
Mkuu hilo lingekua kosa na wangeshtakiwa..as kujiandikisha ni haki ya mtu..hata sasa hawakukatazi kupiga kura ila mtu akapige na kuchagua ki mpango wake....haya mambo yanahitaji umakini kwa nchi zetu ili usije ukatoa tamko la kuvuruga amani..ila la kuambiwa unajiongoza ...Wamechelewa sana. Tuliwaambia wahimize watu wasijiandikishe, wao wakahimiza waende kujiandikisha. Hawa jamaa sijui kwa nini ni wagumu sana kuona hali halisi.