Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Channel Ten ni kituo cha CCM. Anzisheni chenu!Yaani awa bora ata ya TBC toka walivyochukuliwa kimekuwa kituo cha ovyo zaidi kuliko TBC.
Kweli kabisaHata uchaguzi ndani ya chama umeshindikana kwa sababu ya hela!
Mkuu mtu mjinga huita watu wajinga ili aufiche ujuha wake. Hupaswi kujibizana na ujinga wa mjinga haswa mjinga huyo mahiri awapo katika ubora wake!Naona Channel ten kimekua chombo cha ccm, Chadema kujitoa ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji sio habari. Lkn taarifa ya katibu mwenezi kuwaambia wapinzani ni wajinga hiyo ndio habari. Mahali tulipofikia ni hatari sana kwani vyombo vya habari navyo vimeufyata
Hivi huu uchaguzi unafanyika Znz? Au TAMISEMI mwisho wao Bagamoyo tu hapo?Waswahili husema kufa kufaana baada ya chama kikuu cha upinzani nchini kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kimetoa fursa kwa chama cha ACT wazalendo kuimarika zaidi.
Maana yake ni kwamba kwa sasa Chadema itakosa uwakilishi katika serikali za mitaa jambo ambalo ni hatari sana kwa ustawi wake.
Nina imani Zitto na maalimu Seif hawatasusia uchaguzi ila watapanga mbinu muafaka za kumkabili mwenzao waziri Jafo kwenye uwanja wa uchaguzi kwani waswahili wanasema.......Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.
Poleni sana Chadema
Maendeleo hayana vyama!
MATOPE MLIOKIMBIA FAINALIUtakua na matope kichwani