CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Kwakweli inakera Sana , na ndio maana kumbe Ni rahisi Sana machafuko kutokea
 
Naona Channel ten kimekua chombo cha ccm, Chadema kujitoa ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji sio habari. Lkn taarifa ya katibu mwenezi kuwaambia wapinzani ni wajinga hiyo ndio habari. Mahali tulipofikia ni hatari sana kwani vyombo vya habari navyo vimeufyata
Mkuu mtu mjinga huita watu wajinga ili aufiche ujuha wake. Hupaswi kujibizana na ujinga wa mjinga haswa mjinga huyo mahiri awapo katika ubora wake!
Chochote kinachomilikiwa na fisiemu hakiwi na weledi... tazama Uhuru na mzalendo pia redio wanazomiliki... kibaya wameambukiza tbccm
 
Sasa tuchague nini wakati mmepita bila kupingwa
 
Waswahili husema kufa kufaana baada ya chama kikuu cha upinzani nchini kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kimetoa fursa kwa chama cha ACT wazalendo kuimarika zaidi.

Maana yake ni kwamba kwa sasa Chadema itakosa uwakilishi katika serikali za mitaa jambo ambalo ni hatari sana kwa ustawi wake.

Nina imani Zitto na maalimu Seif hawatasusia uchaguzi ila watapanga mbinu muafaka za kumkabili mwenzao waziri Jafo kwenye uwanja wa uchaguzi kwani waswahili wanasema.......Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.

Poleni sana Chadema

Maendeleo hayana vyama!
 
Hii ilikuwa ni sawa na kwenda kucheza mpira na timu ambayo refa ni wao, washika vibendera ni wao na kamisaa ni wao. Halafu utegemee kupata ushindi!!??
 
Wasioelewa leo wataelewa siku ya upigaji kura.

Mtaamini kwamba CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Hata waliojiandaa kuiba kura watakosa cha kuiba, maana hawatajitokeza kupiga kura, mtaiba nini?!

Mmekosea kuanza rafu hata kabla ya mechi kuanza.

Kujiandikisha ilikuwa tatizo kura mtapiga mwezi mzima na kura 10 hamtopata vituoni.
 
Na wabunge wasusie hivyo hivyo hapo sasa ccm itakuwa imetoka madarakani
 
Na wabunge wasusie hivyo hivyo hapo sasa ccm itakuwa imetoka madarakani
 
Waswahili husema kufa kufaana baada ya chama kikuu cha upinzani nchini kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kimetoa fursa kwa chama cha ACT wazalendo kuimarika zaidi.

Maana yake ni kwamba kwa sasa Chadema itakosa uwakilishi katika serikali za mitaa jambo ambalo ni hatari sana kwa ustawi wake.

Nina imani Zitto na maalimu Seif hawatasusia uchaguzi ila watapanga mbinu muafaka za kumkabili mwenzao waziri Jafo kwenye uwanja wa uchaguzi kwani waswahili wanasema.......Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.

Poleni sana Chadema

Maendeleo hayana vyama!
Hivi huu uchaguzi unafanyika Znz? Au TAMISEMI mwisho wao Bagamoyo tu hapo?
 
Mwambieni tumejitoa lakini wana CCM watakiona cha mtema Kunis! Katu hawatokuwa and Armani kwa huu ujinga waliojitafutia!
 
Back
Top Bottom