CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Hata wakishiriki hakuna kitu watapata
 
Nawaunga mkono kwa hili inakuaje tuchaguliwe viongozi wa kuwachagua
 
Anashangaa nje lakini ndani ya moyo wake anaumia sana, anajuta sana kuwa waziri maana anajua amejichafua mbele ya Mungu na lazima atafanya toba, ila kwa kuwa ana njaa ya madaraka lazima atetee ujinga kutoka juu.
 
Akihojiwa kwa nyakati tofauti na vituo vya idhaa ya kiswahili ya BBC na sauti ya amerika,Jafo amehoji kwanini chadema wakosee kujaza fomu kwa wingi kiasi kile?je si makusudi?,lakini
pia kwanini wasusie uchaguzi kabla ya hata siku ya kushughulikia malalamiko kwisha?
Jafo akaendelea kusema kuwa kwa kuunganisha matukio unaweza kupata picha kuwa ni jambo ambalo lilipangwa nao kwa maslahi yao.(ie.kuna kitu nyuma ya pazia),anasema pia kususia uchaguzi ni kuwanyima haki wananchi.
Mwisho amesisitiza kuwa uchaguzi upo pale pale,maandalizi yataendelea Kama kawaida.
 
Uchaguzi gani na huku ccm walishatangazwa kupita bila kupingwa,ukiwa ccm akili unaweka mfukoni nimeamini
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili

Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha Kamati Kuu ya dharura ya chama kilichofanyika mkoani Dodoma

Jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema alisema Kamati hiyo itakutana leo kutoa msimamo wao wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

----
WAZIRI JAFO AWASHANGAA
Baada ya Chadema kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa, Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema uamuzi huo unawanyima fursa wagombea wa chama hicho waliopitishwa, waliokata rufaa kupinga kuenguliwa.

Pia soma
Jafo ni ccm, what do you expect of him! yuko kutekeleza matakwa/maagizo ya Jiwe
 
Kwa hili nafikiri Chadema na vyama vya upinzani wana haki ya kutoshiriki uchaguzi, kama wagombea wao wanaenguliwa, viapo hawapewi, wanachama wao wanakamatwa na polisi wanawekwa ndani kwa kesi ambazo hazina msingi, wanatoa taarifa serikalini hakuna hatua inayochukuliwa kwa nini wasijitoe? shida yangu sio upinzani kujitoa bali ni kwa nini serikali inatumia pesa nyingi kufanya uchaguzi wa kijinga wakati huo inajua ni wana ccm pekee ndo wanaotakiwa kugombea na kushinda? kusema ukweli tusichezee pesa za wananchi kwa mambo ambayo hayana tija kwa Taifa, kama tumekubali kushindana basi tuweke mazingira sawa kwa vyama vyote, tuna tumia nguvu hata kuchagua viongozi wa serikali za mitaa na vitongoji? serikali inacheza mchazo mbaya ambao effect yake ni kubwa, tuoneni hata aibu, binafsi naona hiki ni ketendo cha kijinga ambacho mtu mwenye akili yake timamu hawezi kushabikia uhuni huu, kwanza mna tia aibu na kulichafua Taifa bule kwa uchaguzi mdogo ambao wameugeuza kuwa vita.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili

Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha Kamati Kuu ya dharura ya chama kilichofanyika mkoani Dodoma

Jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema alisema Kamati hiyo itakutana leo kutoa msimamo wao wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

----
WAZIRI JAFO AWASHANGAA
Baada ya Chadema kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa, Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema uamuzi huo unawanyima fursa wagombea wa chama hicho waliopitishwa, waliokata rufaa kupinga kuenguliwa.

Pia soma
Nilidhani Jafo ana akili kumbe nae ni karai...
 
Yametimia, hatimaye mhimili mmoja umejichimbia ndani ya mingine na kisha kuchukua umiliki kamili.
IMG-20191107-WA0040.jpeg
IMG-20191107-WA0034.jpeg
 
Mwenyewe alishasema ni wa tofauti, basi acha mambo yaende ki tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom