Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Unafiki Utakuja Kuisha Lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo aliyeumia ni ccmMmmh, upepo ulionekana kabisa poleni chadema
Who gains and who loses referee akiwapa ushindi ivyo ivyo na TFA wakiwazawadia 3 juu?Huu utoto ulioandika hapa mpelekee mkweo ndio ana muda wa kusoma huu ujinga. Unasema asisusie huku zaidi ya 80% ya wagombea wake wametolewa kwa mizengwe? Unaingiza timu yako ya wachezaji 11 uwanjani, kisha refarii anawatoa wachezaji wako saba kwa uhuni wa kitoto, kisha unasema unaendelea na mechi!?
Ni fedheha ndani ya nafsi kujifanya mpumbavu!Afadhali, INAKUBALIKA KAMA HUJAJIPANGA, UNA-RETREAT KISHA UNA-REGROUP.....
Hapa nimewapongeza chadema. Sasa mjipange vizuri, mkija hovyo 2020 WATANZANIA watawafyekelea mbali kwenye boks la kura.
Shule ya kata tuko nawe were JF lakini ulishakufa ufahamu siku nyingi ni maiti inayotembea.Kwani hata kama mngeshiriki mgeshinda? Mmekimbia aibu ambayo mngepata, hamna lolote
Nyinyi angekuwepo mwalimu au mngekuwa jamhuri ya China mnastahili kunyongwa.mnafiki hafai kuishi. Mnaogopa nini kusema ukweli?Mnalia lia toka 1995....
Watanzania tumewakataa upinzani huu wa kinafiki...
Heri mchawi kuliko mnafiki...Unafiki Utakuja Kuisha Lini?
Hizo ni hisia zako. Yeye ndio rais WAKO na wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Hivyo alishinda uchaguzi. Hutaki acha.
Hahahaaa.......!
Hii ndo evidence based kila mtu anajua
Haya maamuzi sahihi ila yamechelewa sana,sijui hata mlipopanga kushiriki mlikuwa mnafikiria nini.
Huwezi kufanya siasa na mtu asiyetayari kushindwa.