YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
La Chadema kususa kutambua viongozi wa mitaa,vijijini na vitongoji maisha ya wanachadema wenye kushikilia hiyo misimamo maisha yao hayatasonga sababu hawataweza kuuza au kununua migodi ,mashamba ,nyumba nk bila kuidhinishwa na viongozi wa vitongozi,vijiji au mitaaCuf walisusia uchaguzi mkuu Zanzibar na maisha yanamesonga wazee