CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Cuf walisusia uchaguzi mkuu Zanzibar na maisha yanamesonga wazee
La Chadema kususa kutambua viongozi wa mitaa,vijijini na vitongoji maisha ya wanachadema wenye kushikilia hiyo misimamo maisha yao hayatasonga sababu hawataweza kuuza au kununua migodi ,mashamba ,nyumba nk bila kuidhinishwa na viongozi wa vitongozi,vijiji au mitaa
 
Mbowe wewe ni kiongozi wa chama cha siasa.
Lengo kuu la chama chochote ni kushika dola.

Unatakiwa kutambua kususia uchaguzi maana yake ni kuwadhulumu wananchi.
Sio kila mtaa majina yamekatwa, sasa madudu mliyofanya huko kwenu Hai unataka tuumie na tusiousika.

Hiki chama sio cha viongozi, maana ya maamuzi yenu ni kuua chama, serikali inaanzia mtaani, kama mnaona hamtendewi haki mbona ubunge mnaendelea?

Mbowe ni jipu litumbuliwe.
Haya kapokee buku 7 yako upesi.
 
We ndo kirusi tena takataka
Mbowe wewe ni kiongozi wa chama cha siasa.
Lengo kuu la chama chochote ni kushika dola.

Unatakiwa kutambua kususia uchaguzi maana yake ni kuwadhulumu wananchi.
Sio kila mtaa majina yamekatwa, sasa madudu mliyofanya huko kwenu Hai unataka tuumie na tusiousika.

Hiki chama sio cha viongozi, maana ya maamuzi yenu ni kuua chama, serikali inaanzia mtaani, kama mnaona hamtendewi haki mbona ubunge mnaendelea?

Mbowe ni jipu litumbuliwe.
 
Kweli kabisa kazi imeanza. Ngoja tuone nani ata bow down. Time always tells the truth.
Kinachoendelea utamsikia Jiwe akisema wenyeviti hao watakaochaguliwa walipwe mshahara na malupulupu ili wawatumikie wananchi vizuri, usafiri shangingi la kwenda ofisini, at nchi tajiri. Mavi kabisa
 
YEHODAYA,
Hakusema wasiwatambue, alimaanisha CCM itawaweka mamluki na kuwapitisha kama a CHADEMA ili kufifisha tamko la kiongozi wa CHADEMA kwamba hawatashiriki uchaguzi wa 24/11
 
Retired,
New approach iliyobaki ni kuwaandaa vijana kujihami pale itakapobidi kukinukisha. Mpaka sasa kuna siasa zq hofu. Raia wanatishwa wasijaribu kuhoji chochote, bunge limelowa jasho kwa hofu, Mahakama zimeuawa, CAG ametishwa na kuamrishwa afuate maagizo ya muhimili, aachane na ukaguzi makini.

Katika mazingira hayo, hakuna new approach isipokuwa kutumia njia mbadala za kurudisha mamlaka kwa wananchi. Na kwa aina hii ya watawala, njia hizo haziwezi kuwa za maongezi matipu bila vitendo. Na vitendo hapa namaanisha migomo, vikwazo, kutowatambua viongozi watakaotokana na uchaguzi huu, nk.nk
 
Duh sijui ulitaka kumaanisha nini ?
Wataandika kwenye safari wafuasi deli wa CDM na kujipigia kura. Ukienda vituoni utakuta wako bize kujaza Kira walixoigia nyumbani kwenye masanduku
 
Kinachoendelea utamsikia Jiwe akisema wenyeviti hao watakaochaguliwa walipwe mshahara na malupulupu ili wawatumikie wananchi vizuri, usafiri shangingi la kwenda ofisini, at nchi tajiri. Mavi kabisa
Viongozi wenu wanasema wawasusie viongozi watakaochaguliwa. Mi nakubali. Lakini viongozi hao walifikiria kabla ya kutoa tamko?
 
DJ kanyooka anamgwaya meko balaa, yani kiufupi kaufyata sasa anawauza wenzie awamu ya pili

Awamu ya kwanza kawauza kwa EDO
Awamu ya pili anawauza kususia uchaguzi eti hatutawatambua viongozi ambao watachaguliwa yani utoto utoto tu hivi hawa si walisema hawatamtambua meko wakasusia mpaka kikao siku anahutubia bunge je leo bado hawamtambui

DJ kawauza wenzake tena CDM imernda na Dr slaa.
Safi Mbowe kacheza Kama Mchezaji wa zamani wa Moira Pele.

Seif sharrif Hamadi aliwabwaga CUF Zanzibar kwa kususa uchaguzi Zanzibar Hadi Leo hakuna mbunge Wala mjumbe wa Baraza la wawakilishi hata mmoja baada ya Seif kuifungia goli CCM

Mbowe naye kacheza mpira Safi kaifungia goli CCM la viongozi wa serikali za mitaa,vijiji na Vitongoji..Kama Seif Sharrif Hamad alivyocheza kwa niaba ya CCM na Mbowe kacheza vile vile
 
Mbowe ndio anaua chama kwanza yeye mwenyewe hafuati katiba ya CHADEMA
Anawapa mwanya ccm wa kumpopoa mawe
Kwa mfano wakati pilika za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza wakamchokonoa kuhusu kufanya uchaguzi wa CHADEMA
Akasahau serikali za mitaa akawaza uenyekiti wake anakuja kuzinduka mambo yamesha haribika

Alitakiwa ajiuzuru na sio kususia uchaguzi maana ni makosa yalio tokana na uongozi wake mbovi
 
La Chadema kususa kutambua viongozi wa mitaa,vijijini na vitongoji maisha ya wanachadema wenye kushikilia hiyo misimamo maisha yao hayatasonga sababu hawataweza kuuza au kununua migodi ,mashamba ,nyumba nk bila kuidhinishwa na viongozi wa vitongozi,vijiji au mitaa
Ivi unaelewa maana ya kutengwa wewe na familia yako huko vijijini. Kwa sehemu ambazo upinzani mdogo haitasumbua but .... huko kwingine watapata shida, kumbuka kuna maisha mengine nje ya siasa Ndio watakavyofanyiwa hao wenyeviti. Kuuza au kununua migodi unatumia wakili mnamalizana mahakamani, kama mahakama itamhitaji huyo kibaraka wa ccm kivyake.
 
We mzee huna lolote mnafiki mkubwa endelea kula mihogo na Dr Slaa wako
Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
 
Huwezi jua mkuu,rufaa ndio ingeamua lakini ndio hivyo kwa bahati mbaya mwenyekiti kabadili gia angani.
Ukate Rufaa wakati unajua fika kabisa hakuna utawala wa sheria nchi hii!?

Muhimili wa mahakama umebaki jina tuu.
 
. Kuuza au kununua migodi unatumia wakili mnamalizana mahakamani, kama mahakama itamhitaji huyo kibaraka wa ccm kivyake.

Huna uzoefu na hujui chochote uko.kwenye Giza Totoro.Jaribu njia hiyo tu ya wakili bila kutumia viongozi wa. Vitongoji,mitaa na vijiji uone muziki wake .Utatapeliwa Hadi.ukome
 
Unajuwa watu wanachukua poa nakusimama kwenye mimbari kuita upinzani vilaza while upinzani ndio inawatu smart sana. Huo ndio ukweli na ss kama ccm lazima tukubali hili.

Well sina shak tutashinda kwa kishindo ila kwa haka kamchezo upinzani wanagoma tusifurahie maana yajayo yanafurahisha.

Mungu utukumbuke Watanzania kama mwal pale UK alivyo sali Mungu alikumbuke taifa hili. Mpe macho ya rohon rais wetu kujuwa amezungukwa na makuwadi wa siasa wanao mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa wakati heshima ya taifa hili kimataifa ikishuka.

Mungu tusaidie ktk hili. Amen
 
Back
Top Bottom