Kamanda upo sawa. Mbowe alifanya kosa kubwa sana.
Duh kamanda, hili ni jibu sahihi kweli?Simba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?
Moderator ninafanyiwa hujuma.Naona tunaleta mbwembwe kama za abunuasi.
Yaani kulipa mishara watendaji wa chama na kuimarisha chama?
Kama hata ofisi tu tumeshindwa ndio tutaweza kufanya haya?
View attachment 1815280
View attachment 1815307
Ila zina.majengo yao.Simba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?
Ukweli wako unachoma kumtimaIla zina.majengo yao.
Moja ya maajabu 7 ya dunia ni mbowe kula ruzuku za chama bila makamanda kushtuka
Simba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?
Of course nakuchukulia poa. Umefanya spinning za ajabu kutoka kwenye original comment mpaka kwa Lowasa.
Easily blinded kama wafia chama wengine, kama mshkaji wangu Urio.
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro .
Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike , baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni kusuka chama kwa kukusanya wanachama wapya na kuhudumia wanachama wake 24/7 , hivyo ni lazima wapewe vitita viziro kila mwezi ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi .
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu CHADEMA yaweza kuwa ndio Chama cha kwanza cha kisiasa nchini Tanzania kuwalipa wafanyakazi wake wote hadi wa ngazi ya chini kabisa Mshahara , vyama vingine watendaji wake wengi huishi kwa kutegemea RUSHWA ZA WAGOMBEA WAKATI WA CHAGUZI za ndani au Uchaguzi Mkuu
lakin kama amekula mbona apelekwi mahakamani? inaonekana unaushahid wa yeye kula.Ila zina.majengo yao.
Moja ya maajabu 7 ya dunia ni mbowe kula ruzuku za chama bila makamanda kushtuka
Duh kamanda, hili ni jibu sahihi kweli?
actually Jiwe ameijenga sana CDM maana watu waliiona CDM kama mkombozi wao , hivyo ikajengeka mioyoni !
Mbona kama wewe ndiye umenivamia mimi boss wa magari?Aliyemtaja Lowassa ni ww ukidhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww, kwa kudhani nitakuwa nilimsifia yule mzee tapeli wa kisiasa. Kwa bahati mbaya umekuta mimi sio mwepesi hivyo. Sasa naona unajichanganya tu, mara sijui spinning, sijui blinded na vijimaneno vya kiingereza uchwara ili nikuone msomi, kumbe huna lolote. Tazama vizuri hii Id, sio ya kuivamia kirahisi boss.
Tumia akili kufikiriJibu sahihi kwani uko na marking scheme humu ndani?
There is another way of looking at it: udikteta wa Jiwe umesaidia pia, indirectly, kuficha mapungufu ya vyama vya upinzani. Na mtihani mkubwa kwao ni kabaki relevant, should Mama Samia meet expectations of Watanzania wengi.actually Jiwe ameijenga sana CDM maana watu waliiona CDM kama mkombozi wao , hivyo ikajengeka mioyoni !
Ila zina.majengo yao.
Moja ya maajabu 7 ya dunia ni mbowe kula ruzuku za chama bila makamanda kushtuka
mbowe mwenyewe alishasema ana miezi 6 hajalipa watu mishahara
Umeanza shobo nitakuvua nguo.Huna jipya naona unajibebisha tu hapa.
Hivi we kiumbe una matatizo gani? Yaani hadi nakuonea huruma hujitambui kabisa, wakati mwingine bora upite kimya kimya.Source ya habari mi upuuzi mtupu.
Malisa ni mlamba viatu wa Mbowe
Mkuu upo sahii, ccm hakuna bila mbeleko wa mwenyekiti wao ambae ni Rais ,vinginevyo hamna kitu , kipo safari moja na chama Cha MremaNilikisahau hicho chama aiseeee , Nashukuru kwa kunikumbusha .