Mbona kama wewe ndiye umenivamia mimi boss wa magari?
Kama unahisi naandika hayo maneno ili unione msomi unakosea kwasababu hiyo ni lugha tu siyo alama ya usomi.
Wewe huna tofauti na mwanachama mwingine yeyote wa chadema usijifanye ni wa tofauti boss.
Umeanza shobo nitakuvua nguo.
HahahaHebu kaa kwa kutulia boss, maana naona umeshakata pumzi.
Utavitoa wapi bwege mkubwa.Hapa kwangu si unajua daily huwa nakupa vitu vyenye ncha kali?
Kasema kaijadili mpaka kachoka Sana akaona aje kutupangia tujadili bajeti, wenda pia mda huu yupo anaendelea kuijadiliMkuu umeacha kujadili bajeti!?
Mkuu kwa elimu uliyompa huyo kapuku kama hajaelewa achana naye , umejitahidi mno kumuelimishaHebu kaa kwa kutulia boss, maana naona umeshakata pumzi.
Tumaliza ofisi za kila jimbo, mkoa then kila jiji katika Kanda tunapandisha jengo la ghorofa la maana , ili mpasuke KWA stress,Naona tunaleta mbwembwe kama za abunuasi.
Yaani kulipa mishara watendaji wa chama na kuimarisha chama?
Kama hata ofisi tu tumeshindwa ndio tutaweza kufanya haya?
View attachment 1815280
View attachment 1815307
Kwa nini apelekwe mahakama ikiwa wanaoliwa wapo kimya. Nyie makamanda mnaoliwa ndio mumpeleke mahakamanilakin kama amekula mbona apelekwi mahakamani? inaonekana unaushahid wa yeye kula.
Dah! Kazi ipo....Simba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?
Two wrongs don't make it rightSimba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?
Two wrongs don't make A right.
Wewe huko CCM hakuna wanaume hadi muda wote unawaza ya Chadema tu. Ndiyo maana Mwamba alikuweka kimoko tu cha nguruwe akakupiga chini.Naona tunaleta mbwembwe kama za abunuasi.
Yaani kulipa mishara watendaji wa chama na kuimarisha chama?
Kama hata ofisi tu tumeshindwa ndio tutaweza kufanya haya?
View attachment 1815280
View attachment 1815307
Kumbe nyie wote huyu Mbowe ndiye alikutoeni usichana wenuKamanda upo sawa. Mbowe alifanya kosa kubwa sana.
Akufanyie nani hujuma nawe muda wote unafikiri upumbavu pumbavu tu wa kiccmModerator ninafanyiwa hujuma.
Bila shaka mumeo unampikia kuku na nyama kila siku wakati watoto wenu wanashindia kipolo na ukoko.Naona tunaleta mbwembwe kama za abunuasi.
Yaani kulipa mishara watendaji wa chama na kuimarisha chama?
Kama hata ofisi tu tumeshindwa ndio tutaweza kufanya haya?
View attachment 1815280
View attachment 1815307
Wewe mbona unatumia kijambio kufikiri?Tumia akili kufikiri
Yaaani hata mpotezeee vipi sisi tutaendelea kuwasakama kila siku kudai matumizi na mapato ya zile sadaka.Umemuachia nani lindo la kaburi la dhalimu usiku huu? Unataka mabeberu wakamuibe?
Si , unajua tena! CCM na Rushwa ni pete na kidole!?Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro .
Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike , baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni kusuka chama kwa kukusanya wanachama wapya na kuhudumia wanachama wake 24/7 , hivyo ni lazima wapewe vitita vizito kila mwezi ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi .
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu CHADEMA yaweza kuwa ndio Chama cha kwanza cha kisiasa nchini Tanzania kuwalipa wafanyakazi wake wote hadi wa ngazi ya chini kabisa Mshahara , vyama vingine watendaji wake wengi huishi kwa kutegemea RUSHWA ZA WAGOMBEA WAKATI WA CHAGUZI za ndani au Uchaguzi Mkuu .