CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Kulia lia nyiny kama watoto mara ooh lisu anatumia dawa hapo munachokoza wenyewe nyuki muking'atwa mutafute huruma kwa wananchi siasa ishawashinda sasa toka mulipoanza.
 
Nami nitasafiri kutoka popote nitakapokuwa ili tarehe 23 nishiriki maandamano ya kutetea haki ya msingi ya kuishi.
 
Safi sana
 
Kulia lia nyiny kama watoto mara ooh lisu anatumia dawa hapo munachokoza wenyewe nyuki muking'atwa mutafute huruma kwa wananchi siasa ishawashinda sasa toka mulipoanza.
WEwe utakuwa mjinga sana. Kuandamana ndiyo siasa yenyewe, kuteka na kuua watu ni ushetani, ni uharamia na ni jinai. Wanaoteka na kuua ndio walioshindwa siasa.
 
Mandamano ya amani ni haki ya kikatiba, lakini pia ni njia mojawpo kuiamsha serikali, pamoja na viongozi waliolala,na kuitangazia dunia uovu unaendelea Tanzania.
 
Hakuna mwana CHADEMA yeyote yule atakaye toa pua yake kuingia barabarani. maandamano yatakuwa Twitter na kuishia huko huko.
Hakuna binadamu wa kweli anayeweza kuunga mkono ushetani wa dola wa kuteka na kuua watu.

Ninyi mashetani endeleeni kufurahia utekaji na mauaji yanayofanywa na serikali kwa wakosoaji wa Serikali, lakini mjue kuwa kuna siku yaja, nanyi mtakuja kuwa wahanga.
 
WEwe utakuwa mjinga sana. Kuandamana ndiyo siasa yenyewe, kuteka na kuua watu ni ushetani, ni uharamia na ni jinai. Wanaoteka na kuua ndio walioshindwa siasa.
Sawa mkuu maadamu mushaamua kujitoa kwaajili ya sisi wajinga hatutaki kuona munakuja kulia hapa mkishatiwa rungu huko 😄😄
 
Umechanganyikiwa dadangu ?!! 😲
Kweli shetani hamshindi mwenyezi Mungu na ndio maana mh.Rais ametoa maelekezo ya uchunguzi na kutafutwa hao hayawani wanaodhuru watanzania wenzetu.....

Papara ya nini na wakati tamko limeshatolewa?!!
Angeanza na uchunguzi wa Lisu kwanza kama anania ya uchunguzi la sivyo hizi ni drama tu, wataenda kumkamta mwehu waseme ameenda kutubu kwa gwajima kuwa yeye ndiye muuaji na mtekaji.
 
Nami nitasafiri kutoka popote nitakapokuwa ili tarehe 23 nishiriki maandamano ya kutetea haki ya msingi ya kuishi.
Natoa wito kwa wote tunaolipenda taifa letu tupaze sauti na kushiriki kuliokoa taifa letu.Bila kujali gharama na umbali tulipo.
 
Na wewe uhudhurie mandamano hayo bibi kizee siyo kubwabwaja tu huku mitandaoni. Mbeya kwenye ulikimbia ukamwacha Sugu nasuguliwa tu mpaka sasa hivi amekuwa kimya siyo ameenda wapi 🤣
 
Ukifa safari hii itabidi tumuoe mke sasa!! 🤣🤣 au unasemaje?
 
Sasa wangekaa kimya wangeandamana au hata kufanya mazoezi ya kupasha misuli na kutest Magari ya maji ya kuwasha,Madai yao wanayo dai ni sahihi ila inahasara kubwa kuliko faida. Wangetafuta njia mbadala ambayo ingehusisha watu wachache kuliko, hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…