Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
Masikini wengi wanawaza kula tuniache kupambana ugal wangu na watoto. siasa hizi. kaz kwel kwel. kwangu ugali ni bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini wengi wanawaza kula tuniache kupambana ugal wangu na watoto. siasa hizi. kaz kwel kwel. kwangu ugali ni bora
Siyo kuchekwa na wajukuu tu, historia ya nchi hii itawatatiza sana vizazi vijavyo na kushindwa kuelewa ilikuwa kuwaje kizazi hiki kilichopo sasa kiliingiwa na ujinga usio elezeka.Tutakuja kuchekwa na wajuu wetu Kwa ushenzi huu tunao uangalia maliasili zetu zikiporwa bila huruma.
Mtu kama huyo kumjibu ni kupoteza muda wako bure. Huyo ni mnufaika wa hali iliyopo, sasa unategemea aseme nini? Anasema hivyo akifikiria watu wataacha kudai haki zao ili yeye na wenzake waendelee kupata neema ya dhulma zinazofanyika.Masikini wengi wanawaza kula tu
Erythrocyte , how do we mitigate the death toll that is in the vicinity? Nina uhakika yale majitu yataua, yataua sana. Ansbert Ngrumo jana nimesoma clip yake inasema wanaotafutwa sasa ni Lema, Lisu Mbowe na Mnyika waondolewe. Watawaskamata na kuwaua/kuwapoteza/kuwaweka ndani na ukatili mwingine kama huo How do we mitigate that?Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya kuyazuia.
Hii ni kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania.
Mrema amedai kwamba, Maandalizi ya Maandamano hayo yanaendelea kama yalivyopangwa yakiwa na lengo la kupaza sauti Dunia nzima ili wote waliotekwa warejeshwe au kama wameuawa kama Ally Kibao basi mifupa yao ikabidhiwe kwa ndugu zao waizike kwa Heshima.
PIA SOMA
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
sawa mkuu ila nakwambia kwangu Ugali wa watoto ni bora. kwan mwisho wa siku nyie mnavodai si mule? mshibe na watoto wenu Au naongopa. ugali ni bora .kwanza tarehe zenu jau sana kwan 30 huko au 31 . ugali wa watoto ni bora akhaaMtu kama huyo kumjibu ni kupoteza muda wako bure. Huyo ni mnufaika wa hali iliyopo, sasa unategemea aseme nini? Anasema hivyo akifikiria watu wataacha kudai haki zao ili yeye na wenzake waendelee kupata neema ya dhulma zinazofanyika.
Wapuuzi kama nyie ndiyo mnaendelea kuwatia watu hasira, watu wana uchungu kwa watu wao kutekwa na kuuawa wewe unafanya mzaha ni akili hiyo au matope.Hakuna mwana CHADEMA yeyote yule atakaye toa pua yake kuingia barabarani. maandamano yatakuwa Twitter na kuishia huko huko.
Safi sanaViva CHADEMA
Tukutane trh 23
Wewe fikra zako fupi huko kwenye chakula ndiko zinako ishia. Usifikiri kila mmoja wetu anafikiri kama unavyo fikiri wewe.sawa mkuu ila nakwambia kwangu Ugali wa watoto ni bora. kwan mwisho wa siku nyie mnavodai si mule? mshibe na watoto wenu Au naongopa. ugali ni bora .kwanza tarehe zenu jau sana kwan 30 huko au 31 . ugali wa watoto ni bora akhaa
Kikubwa ni kwamba Maandamano ni kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Polisi itabidi wakubali kutoa ulinzi tu, hakuna namna!......Kuwazuia Chadema maandamano halali ni sawa na kurusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya kuyazuia.
Hii ni kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania.
Mrema amedai kwamba, Maandalizi ya Maandamano hayo yanaendelea kama yalivyopangwa yakiwa na lengo la kupaza sauti Dunia nzima ili wote waliotekwa warejeshwe au kama wameuawa kama Ally Kibao basi mifupa yao ikabidhiwe kwa ndugu zao waizike kwa Heshima.
PIA SOMA
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Mbowe uwezo wake umefikia mwisho,hatusemi aache siasa,ila angeacha kiti kwa mwingine akabakia kuwa hata mshauri.Hii slogan ya SAMIA MUST GO kuichanganya na Maandamano ya AMANI hata mimi imeniletea ukakasi sijui ni ushauri wa nani?!
Umeyaona yanatembea mitaani? Kesho mjipange ndugu zanguUkikaa kimya wewe ukasema hayanihusu siku wewe ama mtoto wako ama kaka yako, dada yako, Mama yako, baba yako, bibi yako, babu yako, Shangazi yako, mjomba wako, binamu yako, mjukuu wako, kitukuu chako au hata kilembwe chako siku wakitekwa na kupotezwa nani atawasemea ?
Jirani anapofiwa msiba hauishii tu mlangoni pake bali mtaa mzima ama kijiji kizima tuna shiriki nae kumpa pole.
Utekaji hautaishia kwa wengine tu hata milangoni kwetu utafika ndipo tutakumbuka sauti za watu kututetea na kututia moyo.
Karibu mwezi, miezi inasonga watu kama wakina soka mpaka leo hawajulikani walipo iwe ni wazima ama wameuawa.
Tujitokeze tarehe 23 kesho kupaza sauti zetu Tanzania sio kisiwa cha amani tena ni kisiwa cha utekaji na kunyamazisha watu wenye akili.
Mbowe angekuwa anamaanisha hilo angeanzia hizo harakati kwao Kilimanjaro.kama upo tanzania na una akili timamu na utimamu wa mwili kesho jikite na shuhuli za kiuchumi ndugu