Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Haki za watoto ni kuvaa sare za Chipukizi ......!!
 
Safi amefikiria vyema sio kutumia watoto wa wengine washuhudie baba akijificha mtaroni!
 
Mimi pia nimepanga kwenda na Mwanangu ili azijue HAKI zake za msingi.
 
Wapigeni risasi watoto
 
Na wale wa kwenu mnaowavalisha magwanda ya mboga mboga mbona hamsemi
 
Hawa watu wakifanikiwa maandamano yao naacha kazi yangu ya ualimu, hayupo mtanzania mwenye akili timamu akubali kufuatana na Hawa watu
 
Hakuna wa kuandamana. Chama kilishapoteza mamlaka na uhalali wake kwa wananchi
Ndiyo mngealika majeshi na mitutu ya bunduki waje wawasaidieni? Nafikiri maandamano wanayoitisha ndiyo ingekuwa kipimo bora kabisa cha kupimia kukubalika kwa Chadema. Waacheni waandamane nyie hofu yenu nini?
 
Wewe ulisoma shule gani mjinga wewe. Yaani katika mambo yote wanayodai chadema wewe umeona la wabunge wawili tu? Sasaivi kuna mbunge mmoja kila jimbo mbona
Hakuna ajira?
Kuna kupanda kwa gharama za maisha?
Kuna wizi na ubadhlifu wa mali za umma?
Umeme hakuna nk
Ujinga wako peleka lumumba kwa wezi wenzio huko
 
it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.

Sasa si ndicho hicho CDM wanakifanya ....!!

CCM wanatumia ubabe miaka yote. Wamekuja na tume nyingi kuanzia enzi za Mwinyi na tume ya Nyalali, jaji Kisanga, Warioba ... yote hiyo ni janja ya kubuy time. CDM kama chama ni lazima waje ni njia mbadara ili kuwaforce CCM wakae chini na kuzungumza.

Wote wanaoikosoa CDM hawasemi ni njia gani waitumie. Hiyo ya mazungumzo tayari walishafanya na ndiko walikoshindwana.
 

HAYA MAANDAMANO NI MTEGO SEREKALI ISIPOTAFUTA MUAFAKA KUNA KITU KIBAYA KITATOKEA KUTOKANA NA
MGAWANYIKO NDANI YA CHAMA
HALI NGUMU YA MAISHA
KUNA MGAWANYIKO WA MUUNGANO ..Kuna hisia za watu wa bara kulalamika …


Haya Maandamano ni Mtego
 
Wewe ni mwana CCM na ushauri wako ni mbovu. Maandamano yanabadilisha Sheria kwenye nchi kubwa kama U.S sembuse huku! Sehemu nyingine hata Serikali zinatolewa kwa maandamano. Unaongea nini wewe.
Uko sahihi,tunatarajia kukuona mstari wa mbele siku hiyo na si kubakia kuwa mtoa hamasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…