Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi amesema atashiriki Maandamo ya 24 January akiwa na Watoto wake wawili Shawn na Freeman

Sugu amesema ameona ni vema Watoto wake washuhudie Mwanzo wa mabadiliko kamili nchini

My take: Sidhani kama Sugu ana Uelewa wa Haki za Watoto

Haki za watoto ni kuvaa sare za Chipukizi ......!!
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi amesema atashiriki Maandamo ya 24 January akiwa na Watoto wake wawili Shawn na Freeman

Sugu amesema ameona ni vema Watoto wake washuhudie Mwanzo wa mabadiliko kamili nchini

My take: Sidhani kama Sugu ana Uelewa wa Haki za Watoto
Safi amefikiria vyema sio kutumia watoto wa wengine washuhudie baba akijificha mtaroni!
 
Mimi pia nimepanga kwenda na Mwanangu ili azijue HAKI zake za msingi.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi amesema atashiriki Maandamo ya 24 January akiwa na Watoto wake wawili Shawn na Freeman

Sugu amesema ameona ni vema Watoto wake washuhudie Mwanzo wa mabadiliko kamili nchini

My take: Sidhani kama Sugu ana Uelewa wa Haki za Watoto
Wapigeni risasi watoto
 
Na wale wa kwenu mnaowavalisha magwanda ya mboga mboga mbona hamsemi
 
Hawa watu wakifanikiwa maandamano yao naacha kazi yangu ya ualimu, hayupo mtanzania mwenye akili timamu akubali kufuatana na Hawa watu
 
Ukweli ni kuwa sasa CCM imechanganyikiwa
.
Wanahofu ya maandamano.

Kila kona wanaimba juu ya maandamano ya tar 24.

Na sisi tunaandamana nchi nzima.
1000007120.jpg
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?

Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .
Wewe ulisoma shule gani mjinga wewe. Yaani katika mambo yote wanayodai chadema wewe umeona la wabunge wawili tu? Sasaivi kuna mbunge mmoja kila jimbo mbona
Hakuna ajira?
Kuna kupanda kwa gharama za maisha?
Kuna wizi na ubadhlifu wa mali za umma?
Umeme hakuna nk
Ujinga wako peleka lumumba kwa wezi wenzio huko
 
it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.

Sasa si ndicho hicho CDM wanakifanya ....!!

CCM wanatumia ubabe miaka yote. Wamekuja na tume nyingi kuanzia enzi za Mwinyi na tume ya Nyalali, jaji Kisanga, Warioba ... yote hiyo ni janja ya kubuy time. CDM kama chama ni lazima waje ni njia mbadara ili kuwaforce CCM wakae chini na kuzungumza.

Wote wanaoikosoa CDM hawasemi ni njia gani waitumie. Hiyo ya mazungumzo tayari walishafanya na ndiko walikoshindwana.
 
View attachment 2870448
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi.

Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024

Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe mbele ya vyombo vyote vikubwa vya Habari vya Kimataifa pamoja na vyombo vidogo vya Tanzania .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

HAYA MAANDAMANO NI MTEGO SEREKALI ISIPOTAFUTA MUAFAKA KUNA KITU KIBAYA KITATOKEA KUTOKANA NA
MGAWANYIKO NDANI YA CHAMA
HALI NGUMU YA MAISHA
KUNA MGAWANYIKO WA MUUNGANO ..Kuna hisia za watu wa bara kulalamika …

Haya Maandamano ni Mtego
 
Wewe ni mwana CCM na ushauri wako ni mbovu. Maandamano yanabadilisha Sheria kwenye nchi kubwa kama U.S sembuse huku! Sehemu nyingine hata Serikali zinatolewa kwa maandamano. Unaongea nini wewe.
Uko sahihi,tunatarajia kukuona mstari wa mbele siku hiyo na si kubakia kuwa mtoa hamasa tu.
 
Back
Top Bottom