Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka Leo hawana ofisi, na hawajawahi kuandamana kushinikiza mwenyekiti wao awajengee ofisi, Leo wanaandamana kuda waongeze wabunge kwenye kila jimbo, sasa hawa si ni zaidi ya ng'ombe!!
Umerogwa wewe chumia tumbo wa Lumumba
 
Kabla ya sisi kuandamana tunapenda kuona Mbowe , mke wa mh.Mbowe na watoto wake wakiwa msitari wa mbele kuongoza maandamano ,Pia Lisu na mke wake pamoja na watoto wakiwa msitari wa mbele .Sisi sote tutafuata.
Hoja yako haina mashiko , imejaa umasikini wa fikra
 
Hii safi sana. CCM wametunga hiyo miswada ya uchaguzi kwa kujinufaisha wao wenyewe. CHADEMA wamewashtukia mapema sana wapuuzi wakubwa!
 
Hii safi sana. CCM wametunga hiyo miswada ya uchaguzi kwa kujinufaisha wao wenyewe. CHADEMA wamewashtukia mapema sana wapuuzi wakubwa!
Hakuna mpuuzi wa kuunga mkono ujinga na upuuzi huo wa CHADEMA. Ninyi endeleeni kuliwa Ruzuku na michango yenu huko huku mkiswagwa kama mang'ombe kupelekwa machinjioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…