Gifted
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 476
- 852
Hii nchi ishakuwa mali yao cku nyingi ndo unajua leoAnamuonya huyo Dr Slaa, akiwa kama nani!! Maana imefikia wakati kila mtu ndani ya ccm anajiona ana mamlaka ya kuwakaripia/kuwafokea/kuwakoromea/kuwatishia nyau watu wengine. Hivi huu ujasiri wanautoa wapi!
Au wanajiona hii nchi ni mali yao, hivyo watu wengine hawana haki ya kuhoji, au kutoa maoni yao?