Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

Sidhani kama amemzuia kutoa maoni au anajaribu kumzuia kutoa maoni, bali ametoa onyo kuhusu alichokitafsiri yeye kama ni upotoshaji.
Kwani hilo onyo alilotoa linahusu nini? Maoni ya Dr. Slaa, hivyo kamzuia Slaa kutoa maoni yake.
 
"Nimeona kwenye mtandao Ndugu yangu Balozi Dkt. Wilbroud Slaa akieleza mambo yake katika mtandao. Moja ya watu kwa miaka mingi nimewaheshimu kwa umri wao,kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa, namjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo anayaeleza"

Pia soma >
Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Katika viumbe hopeless on earth as human beings chalamila is one of them
 
Kama mkuu wa Mkoa anaona kuna mtu anapotosha
Mahotera acha kujitoa akil, hapa tupo ili kujenga na sio kupotosha. Kama anaona anapotosha kwann asijibu hoja ya ukwel anaoujua ili watanzania waelewe kua Slaa ni muongo? Hii ni dhahir kbs walipokua wanasema ukiingia CCM ni lazima akili uiache kabatini mpaka siku ukitoka!!
 
Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa,
Tena anapotosha sana, nadhani anawatumikia Wakenya ili Bandari yetu ifeli na ile ya Kenya iweze kupaa.
 
"Nimeona kwenye mtandao Ndugu yangu Balozi Dkt. Wilbroud Slaa akieleza mambo yake katika mtandao. Moja ya watu kwa miaka mingi nimewaheshimu kwa umri wao,kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa, namjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo anayaeleza"

Pia soma >
Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Huyu Comedian amesahau kwamba yeye ni Mkuu wa Mkoa na siyo Mkuu wa Tanzania
 
Sidhani kama amemzuia kutoa maoni au anajaribu kumzuia kutoa maoni, bali ametoa onyo kuhusu alichokitafsiri yeye kama ni upotoshaji.
Ametafsiri kwa kutumia nini?, Naoma maneno matupu, hajajielekeza kwa hoja yoyote alivyosema Dr. Slaa, upotoshaji huo yeye kauona kwenye kitu gani she na tangible arguments apinge alichosema mwenzake. By the way tangu sakata hili lianze sijaona mtu mwenye akili timamu anayetetea hili swala la bandari kama unabisha nitajie mmoja.
 
"Nimeona kwenye mtandao Ndugu yangu Balozi Dkt. Wilbroud Slaa akieleza mambo yake katika mtandao. Moja ya watu kwa miaka mingi nimewaheshimu kwa umri wao,kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa, namjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo anayaeleza"

Pia soma >
Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
huyo siyo saizi yake aachane naye kulinda heshima yake.
 
"Nimeona kwenye mtandao Ndugu yangu Balozi Dkt. Wilbroud Slaa akieleza mambo yake katika mtandao. Moja ya watu kwa miaka mingi nimewaheshimu kwa umri wao,kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa, namjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo anayaeleza"

Pia soma >
Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Chalamila hajakuwa bado ni mtoto atuliwe wenye kuijua nchi wachakate mambo ya kitaifa ili aweze kuongoza Mkoa huo vzr.
 
Huyu naye kaanza kulewa ulanzi mapema
 
"Nimeona kwenye mtandao Ndugu yangu Balozi Dkt. Wilbroud Slaa akieleza mambo yake katika mtandao. Moja ya watu kwa miaka mingi nimewaheshimu kwa umri wao,kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa, namjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo anayaeleza"

Pia soma >
Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Hoja hujibiwa kwa hoja sio vitisho. Tumemkosea Mungu wapi?
 
"Nimeona kwenye mtandao Ndugu yangu Balozi Dkt. Wilbroud Slaa akieleza mambo yake katika mtandao. Moja ya watu kwa miaka mingi nimewaheshimu kwa umri wao,kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa, namjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo anayaeleza"

Pia soma >
Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
chalamila...shughulika na issue za machinga tu dar. achana na issue za kitaifa. Kila RC wa dar aliyejifanya kuingilia issue za kitaifa alijikuta anaondoka. hangaika na vibaka wa dar tu. DP world si yako. acha watu watapike nyongo.
 
"Nimeona kwenye mtandao Ndugu yangu Balozi Dkt. Wilbroud Slaa akieleza mambo yake katika mtandao. Moja ya watu kwa miaka mingi nimewaheshimu kwa umri wao,kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt. Slaa, Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake kwa hadhi yake sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa, namjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo anayaeleza"

Pia soma >
Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
KWANINI DR SLAA NA SIO KARDINALI PENGO AU MAMA TIBAIJUKA?
 
Mkuu wa Mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa.

Hili hulijui au unajilazimisha kulisahau kwa ushabiki?
Hana cha kumfanya kuna sheria gani inayompa mamlaka ya kumkataza mtu kutoa maoni yake
 
Mama anaupiga mwingi kimataifa.

========

RC Chamila: Nimeona kwenye mtandao, ndugu yangu balozi Dkt. Wilbroad Slaa na yeye akieleza mambo yake kwenye mtandao, moja ya watu ambao kwa miaka mingi nimewaheshimu, kwa umri wao, kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt Wilbroad Slaa.

Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake, kwa hadhi yake, sio muda sahihi kutumika kulipotosha Taifa.

Ninamjua kabisa hata yeye anafahamu vizuri kuhusiana na mambo yote ambayo nayaeleza, Tanzania ya dkt Samia Suluhu Hassan anayokusudia kuijenga na aliyoanza kuijenga ni Tanzania yenye umoja.

Na ni Tanzania ambayo kwa mtu yoyote ana azma ya kutaka kufahamu, Serikali imekuwa very polite kwa mtu yeyote anayetaka kuja jambo kwa ufasaha.

Back
Top Bottom