Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

Hii nchi ishakuwa mali yao cku nyingi ndo unajua leo
 
Usianike ujinga kweny public!! Slaa kaleta uvunjifu wa amani? Jifunzeni kujibu hoja kwa hoja vitisho sio jibu la mtoa hoja!!!
Uliuliza yeye kama nani, ndio umejibiwa. Usijifiche kwenye kivuli cha kuita watu wajinga.

Kama mkuu wa Mkoa anaona kuna mtu anapotosha umma, ni wajibu wake kusema na kumuonya. Sio lazima awaze kama unavyowaza wewe.

Ujinga ni pamoja na kujidhania unaelewa zaidi majukumu ya mwengine kuliko yeye mwenyewe.
 
Wako kama wameranduka.
 
Regional Chawa= RC
 
Bandari haijauzwa, waeleza Watanganyika Bandari imefanyiwa nini?

Ukiendelea kujadili issue ya bandari ukiwa kama mkuu wa Mkoa unaelekea kubaya .
 
Alikuwa akitumia haki yake kikatiba km anakosa sifa ampeleke mahakamani
 
Huyu dogo anafurukuta kulinda u RC wake awaache wanasheria wenye fani yao wazungumze
 
Mkuu wa Mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa.

Hili hulijui au unajilazimisha kulisahau kwa ushabiki?
Kama ni kweli yupo kamati ya ulinzi na usalama mbona kashindwa kulinda mali za baba zisiuzwe na mama kwa wajomba?
 
Na wewe chalamila una mambo ya kijinga sijui mama ndio kakupenda ili akutumie. Bandari lugha na mashari kwenye makubaliano mliyoleta bungeni ni sawa mumeuza bandari halafu mnalazimisha tuite koleo kijiko. Hebu toeni ujinga wenu. Sisi tutaendelea kusema mumeuza bandari na kuendelea kupinga.
 
Hata vipanya vinatishia eti kwa sababu navyo vina sharubu!
 
Hivi huyu Chalamilo ana hata 1/100 ya uwezo wa Slaa? Watu wengine vituko kweli
 
Huyu dogo Chalamila, akumbuke na alielewe soma la Ally Hapi, tena mhehe mwenziwe.
 
Rc acha kutisha watu ,tunajua umeagizwa kwa makusudi kupiga mikwala ili kuwaziba watu midomo walio kinyume na mawazo ya watawala ,tambua hili jambo LA bandari ni fukoto, na linahitaji mjadala mpana wa wasomi na watu huru kama Dr Slaa na wengine wengi.
 
Mkuu wa Mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa.

Hili hulijui au unajilazimisha kulisahau kwa ushabiki?
Mkuu wa mkoa hana haki ya kuzuia wengine kutoa maoni yao, anavunja sheria hata kama akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa.
 
#KataaUpotoshaji#MkatabaUendele
 
Mkuu wa mkoa hana haki ya kuzuia wengine kutoa maoni yao, anavunja sheria hata kama akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa.
Sidhani kama amemzuia kutoa maoni au anajaribu kumzuia kutoa maoni, bali ametoa onyo kuhusu alichokitafsiri yeye kama ni upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…