Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

Chalamila uso wake ulivyokaa kaa tu unamuona ana akili? Yupo kama mongolian idiots
 
Nyie mbona mnawatumia ACT na kina Jussa kumbe ni ajenda ya jikoni kabisa kwa wasengi ooops wazenji wote?
Si wewe mzenji? Au umejipachiks tu i zanzibari? Au na wewe ni walewale? Kama Deu Soka? Funguka kijana.
 
Kati ya hawa wawili, endapo utapata nafasi ya kuwasiliza kwa hoja zao kwa jambo lolote lile je utachagua nani?
 
Mkuu wa Mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa.

Hili hulijui au unajilazimisha kulisahau kwa ushabiki?
Hilo jambo Sio level yake Chalamila kama anataka kulinda heshima yake aangaike na mama ntilie, wamachinga, daladala, kujua mgomo wa wafanyabiashara hayo ya bandari mwachie Rais, mbarawa na mwanasheria mkuu wa serikali.
 
I am sure Chalamila kwenye isue ya Bandari hayupo upande wa JK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…