Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

Mi nataka anayejiamini tukaokote nazi kwa Mwakinyo tumuoneshe umwamba. Aliyetayari DM me.

Sokwe anaweza kupigana na watu 100 kwa wakati mmoja kwa hiyo challenge yako hapana
Mwakinyo ni shosti tu anaetegemea support ya mbwa wake. Man 2 Man Mwakinyo ni kama mtori tuπŸ˜‚ anyan'ganywe mbwa kwanza halafu tuoneshane makali.
 
My brother from another mother, ewe charismatic fela GENTAMYCINE hii ndio nafasi ya kuonyesha ubabe wako comrade.

ili wale wanao kuita keyboard warrior, waweze kuacha mara Moja.

Bro Evelyn Salt usi jisahaulishe
Bro Evelyn Salt ????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anyway huyo sokwe achana tuu na nguvu zake, jomba ana meno mabaya sana akipiga bite moja kagusa mfupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…