Kabisaa yaani.Hatukuwa na hizi akili. Hatukuwaza mbali
Kumbe hii ndio tanganyika jeki.Tuifahamu kwanza ilivyoView attachment 3278137
Moshi hiyo au?View attachment 3278679
Hapa sio Tanzania 🤪🤪🤪
Kenya hii kajiado countMoshi hiyo au?
Alfajiri upande wa Kibo tunauona vizuri sanaMshana Jr kwani upareni mnaiona hii view?😅. Sema kila nikienda kaskazini lazima nitazame hizi pacha mbili.
View attachment 3278686