Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #161
Anataka kushindana na hii akili kubwa , amechemsha !Mh. alisema wazi bila kificho kuwa atahakikisha upinzani unakufa. Sasa upinzani umewarahisishia kazi ya ku-uua. Bado mnataka uwepo kwenye uchaguzi!, mbona mnatuchanganya! Mnataka nini hasa?