Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mh. alisema wazi bila kificho kuwa atahakikisha upinzani unakufa. Sasa upinzani umewarahisishia kazi ya ku-uua. Bado mnataka uwepo kwenye uchaguzi!, mbona mnatuchanganya! Mnataka nini hasa?
Anataka kushindana na hii akili kubwa , amechemsha !
FB_IMG_1570488518462.jpg
 
Ilikuwa technic ya Magufuli wapinzani washiriki huu uchaguzi ili uchezewe wapanic wawekwe ndani mpaka baada ya uchaguzi 2020 sasa wapinzani wamekuwa wajanja machale yamewacheza 2020 ndio giza linaenda kutanda.
 
Mh. alisema wazi bila kificho kuwa atahakikisha upinzani unakufa. Sasa upinzani umewarahisishia kazi ya ku-uua. Bado mnataka uwepo kwenye uchaguzi!, mbona mnatuchanganya! Mnataka nini hasa?
Hajaua upinzani Bali kaua vyama vya upinzani,Bali upinzani kama upinzani unaishi ndani ya mioyo ya watanzania hivo kuuua lazima aue mtu ndo atakuwa kaua upinzani.
 
Mh. alisema wazi bila kificho kuwa atahakikisha upinzani unakufa. Sasa upinzani umewarahisishia kazi ya ku-uua. Bado mnataka uwepo kwenye uchaguzi!, mbona mnatuchanganya! Mnataka nini hasa?
Ni ajabu na kweli!
 
Back
Top Bottom