Kijana alitukataa alipopata pesa sasa pesa zimeisha ameamua kuja na swag mpya, na sisi tunasema hatumtambui😂😂😂.Una taka uraisi wa chama gani?, au chana cha omba omba fc?,
maana nakumbuka uli kikana chama Cha ma jobless pro max.
ukasema hukijui kabisa, au we ni mwehu tuka kupime milembe ehh?
dosho12, Thecoder, Selikavu, BLACKTIGER, Smooth Criminal, Mbaga Jr, Razorblade, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, makutupora, Edo kissy, Harmful View attachment 3397746
Nimekuelewa kakaSawa kaka tuweke POLL sawa kaka ndege.
Tupo pamoja hapa nipo na malizia konyagi ndogo moja.
Imeisha hiyoKijana alitukataa alipopata pesa sasa pesa zimeisha ameamua kuja na swag mpya, na sisi tunasema hatumtambui😂😂😂.
😂Jini la kike linipe mvuto la kiume ulinzi nichume hela
Hebu hiki CHAMA kisidharaulike wajameni!Hivi huyu aliye kitukana chama na viongozi wake,miksa kutu tishia kutupoteza.
Ndio ana utaja u jobless pro max?, labda ndotoni mwake.
au awe. Omba omba wa wagogo fc
Selikavu, Smooth Criminal, dosho12, Dr am 4 real PhD, secretarybird, Monetary doctor, BLACKTIGER, Razorblade, Thecoder, Edo kissy Harmful
View attachment 3397745
Huyu wa wapi?Hebu hiki CHAMA kisidharaulike wajameni!
Uzalende uwe ndo nguzo kuu.
Hata simjui.Huyu wa wapi?
View attachment 3397783
Una mkana ndugu yako🤣😂Hata simjui.
Ngoja kukuche tumtupe kurokoroni.
Toka ale BAN watu wanampanda sharubuNaona Unatafuta ugomvi na Intelligent businessman
Umefunguliwa lini?Kwa style hii labda awe mke wa raisi 😂🤣
View attachment 3397780
Mungu nifundishe kunyamazaToka ale BAN watu wanampanda sharubu
Hivi ukiwa BAN unaona nini? Yaani JF haifunguki au?Una mkana ndugu yako🤣😂
Hiyo ni mbinu ya kuwajua ma snitch jukwaaniUmefunguliwa lini?
Hivi unaona jina mod aliekupiga ban?Mungu nifundishe kunyamaza
Mungu nifundishe kunyamazaHivi ukiwa BAN unaona nini? Yaani JF haifunguki au?
Namba yako ninayo, nita kupigiaHivi unaona jina mod aliekupiga ban?
Muhimu mzee. All in all happy you r back kamanda.Namba yako ninayo, nita kupigia