Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Childish Day dream,there's an end for everything...CCM was born,grown,it is now very old on the way to go the grave[emoji16]
I can guarantee you, CCM will continue to be the ruling party for the next 10 millenniums.
 
Demokrasia ya vyama vingi inazidi kushamiri Tanzania.

Angalizo, Kamwe wasikigeuze chama kuwa Genge la Kihalifu kama walivyo fanya viongozi wa Chadema.

Chama cha siasa lazima kiwe kweli chama cha kisiasa.

Niliweka uzi hapa jukwaani kuhusu chama hiki mods wakautoa. Chama hiki kilianzishwa na Magufuli akiwa hai, na lengo la chama hiki ni kukifanya kiwe chama kikuu cha upinzani dhidi ya cdm, na kiwe kinafanya siasa kwa maagizo ya ccm. Chama hiki kinaratibiwa na system, na hii ni baada ya kuona ccm imepoteza ushawishi kwa umma. Lakini ili chama hiki kipate nguvu ilibidi cdm iuwawe kwanza.

Ccm inajua fika imepoteza ushawishi, na inaona aibu kushindwa na cdm, pia inaogopa cdm ikichukua nchi watawalipizia kisasa. Hivyo ni bora kianzishwe chama kingine ili kifanye siasa salama kwa ccm. Miaka hii miwili kumekuwa na wapima upepo huku mitandaoni kama hicho chama kianzishwe ama la.
 

Uko sahihi kabisa, je hayo uliyosema yameshindwa kufanyika bila hicho chama? Ninafahamu mpango wa kukianzisha chama hiki, na maelekezo ya kufanywa na chama hiki yanapotoka.

Cc: Msemajiukweli
 
Yaleyale ya CCJ , nacho kitakufa tu. Hakuna klichoanzishwa kupambana na chadema kikafanikiwa
 
Upinzani unazidi kuwa dhaifu halafu unatumika uhayawani wa wazi kuwapora uchaguzi! Wapinzani wakitaka kufanya siasa polisi wanajazana kuwazuia wasifanye lolote. Huo ndio udhaifu unaotaka tuamini wapinzani wanao. Kwa bahati mbaya akili ya ccm iliyochoka na kupoteza ushawishi ndio inayoanzisha chama sasa. Ni hivi, kizazi hiki sio cha kuchaguliwa mke, hicho chama kitachemsha kama inavyochemsha ccm sasa.
 
Nafkiri hiki ndio chama ambacho baada ya uchaguzi mkuu wa uraisi, wabunge na madiwani nadhani Kama hakitakuwa chama dola Basi kitakuwa chama kikuu Cha upinzani dhidi ya chama dola kitakachokuwa madarakani.

Trela wataionyesha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, hapo CCM inayoongiza dola imepewa kitanzi dhidi ya CCM wanaoonekana wanawapinga.

Mpira wanao wao either wabutue au watoe pasi.

Wacha tuone.
 

Unategemea kuona ushindani wa kweli wakati katiba ni hii hii inayompa rais kuagiza vyombo vya dola kupora uchaguzi? Ufahamu kuwa wananchi wameshapuuza hilo zoezi liitwalo uchaguzi.
 
Ww huungi mkono kuanzishwa kwa hicho chama, bali unafahamu mipango ya hicho chama.
 

Waspobadilika wataendelea kuja na malalamiko uliyoandika hapo juu kizazi baada ya kizazi

Upinzani imara hauwezekani bila nguvu ya wananchi, na nguvu ya wananchi haiji kwa kulalamika ila kwa siasa zinazowaonyesha njia sahihi ya kumaliza matatizo yao ikiambatana na vitendo na sio blahblah

Haya ndio matamanio yako.

Matamanio yangu ni kuona siasa kwa ustawi wetu sote

Nasubiria ushawishi wako kwangu walau nikupigieni kura siuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…