Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Mwanaume anayejitambua hafungi ndoa kamwe... Ni upumbav kufunga ndoa... Sasa hivi ukitaka kufa mapema na kufa na umasikini basi funga ndoa...
 
Mwanaume anayejitambua hafungi ndoa kamwe... Ni upumbav kufunga ndoa... Sasa hivi ukitaka kufa mapema na kufa na umasikini basi funga ndoa...
Katika umri wa ujana kauli za kishujaa huwa ni nyingi sana
 
Nimesoma michango ya wachangiaji kitu nilichokuja gundua ni shida ya tafsiri ya maneno haya wawili KUOA na NDOA kundi linalo kataa ndoa linakubali mfumo wa kuoa na kundi linalo washangaa wanao kataa ndoa halielewi mfumo wa kuoa ila wote hapo wanahitaji kuishi na mwanamke kupitia KUOA au NDOA
 
Pitia na hapa kwanza kisha urudi hapa tuendelee, naomba usome comment za page zote
 
Hawana elimu ya kutosha kuhusu saikolojia ya mahusiano, thus wanateswa na ndoa, waambie wakaoe malaika.
Ndo ni ishu ya spiritually zaidi kuliko materiality.
Wanakurupukia mambo wasiyo na elimu nayo, na hawataki kuelimika kuhusu mahusiaano.
Elimu ya mahusiaano na malezi ni shule kama elimu zingine.
 
“.....Kama mume na mke...”, sasa hiyo kamera iliyotuchungulia kwa miezi mitatu kuona kama tuliishi kama mume na mke sijui mtaitoa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]..
Acha kukaza fuvu wewe na huyo mwanamke mnaishi wapi kama unabisha mtelekeze uone kitakacho kupata. Utabaki na pumbu tu
 
Acha kukaza fuvu wewe na huyo mwanamke mnaishi wapi kama unabisha mtelekeze uone kitakacho kupata. Utabaki na pumbu tu
Jibu hoja, unadhibitishaje kwamba tuliishi kama mume na mke , nikikwambia tulikuwa na ugomvi kwa 90% ya muda tulioishi na hivyo tukaishi kama kaka na dada ila tukaficha tu ili kulea watoto pamoja, utabisha?
 
Dada yako anaweza kuzaa na wewe?
Walisema ukiishicna mwanamke kwa kipindi hicho, hawakusema kuishi mwanamke na kuzaa nae. Haya tufanye sio dada yangu na nimezaa nae, nikisema tulikuwa na ugomvi kwa 99% ya muda tulioishi na hivyo hatukuishi kama mume na mke bali tuliishi kama kaka na dada, ila tulificha tu ili kulea watoto, utabisha?
 
Tatizo mnavamia tu ma ukoo ya ajabu ajabu koo zingine zina laana.
Rejeeni utaratibu wa zamani wa kutafutiwa wake au waume wa kuishi nao. Ndoa haina tatizo, tatizo mnakurupuka.
 
[emoji16]
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…