Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Mwanaume anayejitambua hafungi ndoa kamwe... Ni upumbav kufunga ndoa... Sasa hivi ukitaka kufa mapema na kufa na umasikini basi funga ndoa...
 
Mwanaume anayejitambua hafungi ndoa kamwe... Ni upumbav kufunga ndoa... Sasa hivi ukitaka kufa mapema na kufa na umasikini basi funga ndoa...
Katika umri wa ujana kauli za kishujaa huwa ni nyingi sana
 
66695772dcae0792fc362c4dc6f3fa66.jpg
 
Nimesoma michango ya wachangiaji kitu nilichokuja gundua ni shida ya tafsiri ya maneno haya wawili KUOA na NDOA kundi linalo kataa ndoa linakubali mfumo wa kuoa na kundi linalo washangaa wanao kataa ndoa halielewi mfumo wa kuoa ila wote hapo wanahitaji kuishi na mwanamke kupitia KUOA au NDOA
 
Kampeni kataa ndoa ni mlango wa pili kuhalalisha na kusimika mahusiano ya jinsia moja (USHOGA) niulize kwann??
Kampeni hii inazoofisha thamani ya mwanamke kwa mwanaume na kukuza thamani ya mahusiano ambayo kwa mwanzo yanaonesha urafiki wenye thamani zaidi ambapo hupelekea mapenzi ya jinsia moja (hii imekaa kiroho zaidi)
Hivyo tunaona nguvu kuubwa ya halalisha ushoga inatangazwa hadhari jua ya kwamba sirini walishamaliza mikakati yao kama mjuavyo mzungu (SHETANI) hakurupukagi.
NB. Nilioa ndoa ikavunjika na nikweli wanawake wanachangamoto lakini si kwamba nami ni mkamilifu nna zangu na bado natamani kuoa tena kunako majaaliwa
Pitia na hapa kwanza kisha urudi hapa tuendelee, naomba usome comment za page zote
 
Hawana elimu ya kutosha kuhusu saikolojia ya mahusiano, thus wanateswa na ndoa, waambie wakaoe malaika.
Ndo ni ishu ya spiritually zaidi kuliko materiality.
Wanakurupukia mambo wasiyo na elimu nayo, na hawataki kuelimika kuhusu mahusiaano.
Elimu ya mahusiaano na malezi ni shule kama elimu zingine.
 
“.....Kama mume na mke...”, sasa hiyo kamera iliyotuchungulia kwa miezi mitatu kuona kama tuliishi kama mume na mke sijui mtaitoa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]..
Acha kukaza fuvu wewe na huyo mwanamke mnaishi wapi kama unabisha mtelekeze uone kitakacho kupata. Utabaki na pumbu tu
 
Acha kukaza fuvu wewe na huyo mwanamke mnaishi wapi kama unabisha mtelekeze uone kitakacho kupata. Utabaki na pumbu tu
Jibu hoja, unadhibitishaje kwamba tuliishi kama mume na mke , nikikwambia tulikuwa na ugomvi kwa 90% ya muda tulioishi na hivyo tukaishi kama kaka na dada ila tukaficha tu ili kulea watoto pamoja, utabisha?
 
Dada yako anaweza kuzaa na wewe?
Walisema ukiishicna mwanamke kwa kipindi hicho, hawakusema kuishi mwanamke na kuzaa nae. Haya tufanye sio dada yangu na nimezaa nae, nikisema tulikuwa na ugomvi kwa 99% ya muda tulioishi na hivyo hatukuishi kama mume na mke bali tuliishi kama kaka na dada, ila tulificha tu ili kulea watoto, utabisha?
 
Tatizo mnavamia tu ma ukoo ya ajabu ajabu koo zingine zina laana.
Rejeeni utaratibu wa zamani wa kutafutiwa wake au waume wa kuishi nao. Ndoa haina tatizo, tatizo mnakurupuka.
 
[emoji16]
 
Back
Top Bottom