Yuphat de king
Member
- May 15, 2024
- 27
- 1
😂😂😂 Inafikirisha tuwe makini na tatizo mamlaka inayohusika na hili Jambo ipo kama haipo hawapo wazi mwisho watu waibiwe na kutapeleliwaNimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
Hakika😂😂😂 Inafikirisha tuwe makini na tatizo mamlaka inayohusika na hili Jambo ipo kama haipo hawapo wazi mwisho watu waibiwe na kutapeleliwa
Hiyo link ya pili nani ameitoa?Nimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
Soma charting za wadau za nyumaHiyo link ya pili nani ameitoa?
Sijaona hiyo link2 kwenye website yaoSoma charting za wadau za nyuma
imekaa kifala sanaNimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
Umeifatiliaimekaa kifala sana
kuna watu wapo humuhumu wanajitia wajuaji wanahisi kujua php version ya mwaka 1941 ndo watasumbua watu afu wameachia kichoko sana tulieni mtayasikia😂😂😂 Inafikirisha tuwe makini na tatizo mamlaka inayohusika na hili Jambo ipo kama haipo hawapo wazi mwisho watu waibiwe na kutapeleliwa
Na mm naliona hilo mkuu, maana hakuna ukwel katka izo link zao,Jeshi haliwezi kuttoa mfumo mpya bila kuchapisha rasmi kwenye kurasa zake
je kama ulicho kifanya kwenye ajira2.tpf.go.tz hakionekani ajira.tpf.go.tz sasa uliwezaje kuingia,izo zote zinapeleka data kwenye database moja ya jeshi la polisi na zaidi ya asilimia 60 wameombea kupitia ajira2Nimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?
Ukisha maliza kuappload baluabna ukapokea notification ya kuthimitishabkutuma maombi, nenda upande wa applyed job fungua neno CV jarb kU view cuver letter na kuview CV yako uone kama itakujaacheni kudanganya watu link ajira2.tpf.go.tz na ajira.tpf.go.tz zote ni za jeshi la polisi,mimi niliwafanyia watu kupitia ajira.tpf.go.tz na baadae nikaenda kumalizia ku upload barua kwenye ajira2.tpf.go.tz hivyo zote ni za jeshi la polisi
je kama ulicho kifanya kwenye ajira2.tpf.go.tz hakionekani ajira.tpf.go.tz sasa uliwezaje kuingia,izo zote zinapeleka data kwenye database moja ya jeshi la polisi na zaidi ya asilimia 60 wameombea kupitia ajira2
mkuu ebu nisaidie sion sehemu ya kuweka barua nimemaliza othe qualification nikushuka chini yake nakutana na applied job au kwa vile natumia simuacheni kudanganya watu link ajira2.tpf.go.tz na ajira.tpf.go.tz zote ni za jeshi la polisi,mimi niliwafanyia watu kupitia ajira.tpf.go.tz na baadae nikaenda kumalizia ku upload barua kwenye ajira2.tpf.go.tz hivyo zote ni za jeshi la polisi
Wakuu cover letter inauploadiwa wap?Ukisha maliza kuappload baluabna ukapokea notification ya kuthimitishabkutuma maombi, nenda upande wa applyed job fungua neno CV jarb kU view cuver letter na kuview CV yako uone kama itakuja
rudi mwanzo kbsa utaona search jobWakuu cover letter inauploadiwa wap?
nimegundua kwamba kama utazia ajira.tpf.go.tz na kumalizia ajira2 , basi details zako zita appeal both side lakini ukianzia ajira2 na kumalizia huko, tambua ajira1 haitakutambua na hakuna details yeyoteNimefanikiwa kutuma maombi kupitia https://ajira2.tpf.go.tz na upande wa applyed job inaonyesha nimetuma , ila mbona Nilichokifanya kwenye https://ajira2.tpf.go.tz
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje? Yaani nikiingia kwenye https://ajira.tpf.go.tz na nikiangalia upande wa applyed job naambia hakuna maomb yoyote niliyoyatuma, hii imekaaje?