Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Hoja zako ni kama za mtu mwenye IQ chini ya 70.
 
Na problem ikawa na wa kike wakawa malaya tu utafungua danguro?
Wangu mmoja alipigwa Mimba mapema tu kamaliza chuo,
Mwingine nae akawa mwizi tu,tumemtoa selo nikamrudisha kwao huko magu.
Balaa lipo tu
Aseee umenitisha mana nina mtoto huko magu
 

We umezidi kumkata maini
 
Fanya mapenzi siku ya Ovulation mkuu. Tatizo sio kuzaa nje unaweza kuzaa nje na ukazaa wakike vilevile

Na sio kufanya mapenzi tu, Nasisitiza afanye doggy style iingie yote na ahakikishe kwenye kumwaga dushe iwe imezama yote wakiwa doggy style asitoe mpaka ziishie zote ndani. Hii ni fact na imethibitishwa.
 
Una mawazo ya kipindi cha Zama za mawe: Mtoto ni mtoto tu, hayo mambo ya kurithi sijui ujinga wa jina hayana maana yoyote ni mawazo ya ki ujima tu. Unaweza kuta unamilik labda nyumba tu, sasa jilinganishe na kina Barack Obama - 2 wa kike au Bill Clinton 1 wa kike ambao ni mabillionaire na wapo pouwa tu.
 
Acha nyege. Njoo nikutie mimba basi unizalie dume.

Pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…