Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Huyo Jamaa Mbinafsi Sana, Tangu day one Nlimuona tu Comments Zake Yan ana Roho ya Korosho, Roho Mbaya Vibaya Sana.
 
Huyo Jamaa Mbinafsi Sana, Tangu day one Nlimuona tu Comments Zake Yan ana Roho ya Korosho, Roho Mbaya Vibaya Sana.
nimempa ukweli wake...asihisi kuwa labda tunaishi kwa njia za ujanja ujanja...tunatakiwa tubadilike tuutumie mtandao kwa manufaa....namshukuru Mungu kupitia uzi huu nimepata marafiki kutoka mikoa mbali mbali...ambao wamekuwa kama ndugu zangu nimewasaidia bila kujuana nao na wala sihitaji malipo yoyote kutoka kwao...hata nisipo pata hii nafasi nina uhakika kati ya nilio wasaidia mmoja wapo akibahatika akinikumbuka tu walau kwa kunitaja japo anijui itakuwa baraka kwangu...mtandao ni sehemu ya msaada wa haraka kama tukiutumia vizuri...
 
Huyu jamaa mpwayungu village ana roho mbaya na ni mnafiki sana, watu kama hawa ndio wanaweza kukuacha unakufa huku wakijifanya wanakusaidia. Ni bora wale wanaopitia uzi huu kimya kimya na kutatua changamoto zao kuliko huyu anayejionyesha kabisa hataki kusaidia wengine, itafika wakati tusiokuwa na roho mbaya tutaanza kuomba Mungu huyu jamaa mpwayungu village asipate nafasi ili iwe funzo lakni hatuwezi kufanya hivyo mana sio sisi tunaogawa ridhiki.
Mbaya zaidi anamtaja Mungu kwenye unafiki wako.
Ww jamaa mpwayungu village huo unafiki wako hautokupeleka popote
Ety sensitive labla sensitive ya makalio yako, mpumbavu ww.
 
Mmempiga spana harudii Tena[emoji3]
 
Ivi apo kwenye badili taarifa, wanaruhusu Hadi kubadili hayo majina 3 yaliyopo kwenye NIDA kweli?
 
Tusameheane kama Kuna sehemu nimejikwaa jamii forum ni ndugu
 
Tusameheane ndugu
 
Tusameheane kama Kuna sehemu nimejikwaa jamii forum ni ndugu
kwa moyo mkunjufu...nimeupokea...huo ndio uungwana...ila ifike kipindi uondoe dhana mbaya juu ya watu wa humu mtandaoni...ni kweli watu wabaya wapo sijakataa...
 
Wakuu Vipi hili suala la kuomba pande zote Wizara ya Afya na TAMISEMI
SUALA hili nimeliwekea uzi Ila naona Mods Siyo kipaumbele chao.

Ajira ni ushindani!
Ukipata huku unaweza kukosa kule na kinyume chake.
Ukipata kote unachagua pa kwenda, iko hivo siku zote na wengine watafill hiyo nafasi!

Kwa nini tunawafundisha Watu kuchangamkia fursa? Kila Siku Waziri wa Afya Mh Ummy Mwalimu akiongea anawasihi vijana kukaba Halafu Fursa zikija tunaweka mibano isiyokua na maana.

Sasa wizara ya Afya inakuwekea limitations hata kama unazo sifa!

Nawashukuru OR-TAMISEMI wameupuuza msimamo huo wa katibu mkuu wa Afya.

Naamini hizi ni taasisi mbili tofauti na ndiyo maana Wizara afya wamesisitiza kuhakiki vyeti mahakamani huku TAMISEMI siyo muhimu na mambo mengine mengi wanayopishana

Kama huu ungekua msimamo wa Mh Rais na Serikali kwa ujumla kwenye hizi ajira basi hili katazo lingeonekana Kwenye Tangazo la OR TAMISEMI pia!

Nawasihi vijana Ombeni kotekote huwezi jua bahati yako iko wapi, Tuwapuuze wasomi wenzetu wachoyo wa ridhiki kama huyu Katibu mkuu Afya.
Haya lazima ni maoni yake binafsi.


Makubi huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…