#COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

#COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

Wewe uliyechanja hutakiwi kuwa nasi tusiochanja ka jilock down .Na kuji I solate.Wewe Kama mvaa barakoa ukiona umati hawana barakoa wewe ndio unatakiwa kukimbia Kama umefumaniwa kuwakimbia umati usiovaa barakoa Wala social distance....

Ni katika kulinda afya ya wabunge wetu watukufu ndio maana tunafukuza wasiochanja. Kila baada ya masaaa 48 walete matokeo ya vipimo negative vya Covid kwa gharama yao, ndio waingie Bungeni, bila hivyo wasiingie.

Hili pia soon linaanza maofisini.
Hakuna uhiari kama unahatarisha maisha ya wenzako. La si hivyo jifungie kwako.
 
hata waliochanjwa naona na wao wanapukutika kwa spidi ya supernova sasa kipi ni kipi
Chanjo haizuii kifo ,waliochanjwa wanakufa kwa magonjwa mengine mkuu ambapo hata corona isingekuwepo wangekufa....Hata maralia inaua hata kama umechanjwa chanjo ya corona.
 
huyu fala anajisumbua tu hivi anadhani alivyogonga hiyo chanjo ndio atatoboa? yaani wewe na mambaazi yooote unayobugia plus roho mbaya na uchawi , unadhani Mungu mjomba wako, Yustino mwaka huu hapindui , mtakuja kuniambia save this date
Wewe ndio mchawi sasa, na kivipi wewe uanze kuombea watu wafe?

Wewe unakinga gani choko wewe?

Acha ufala dogo, Kifo kipo na wote kinatuhusu, haina haja ya kuombeana kifo
 
Tusubiri tamko la UVCCM kuhusu wanaopingana na Mwenyekiti wa CCM taifa.

Au wao wanawakomalia wanaohiari kutokuchanja tu.

BTW: Ingekuwa ukichanja huambukizi wengine basi hilo zuio lingekuwa na maana.
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa Bunge ni muhimili mwingine wa dola tofauti na serikali. Ndani ya Bunge Spika ana mamlaka inayojitegemea na maamuzi yake sio lazima yaendane na maamuzi ya serikali
Kwahiyo unataka kusema kwa maelezo ya Rais kwa wananchi wa Tanzania spika anaweza kuweka masharti yake juu ya mwongozo huohuo wa Rais tena yanayo kinzana? Hata wewe pia huelewi sawasawa juu ya coordinating ya pillars hizi
 
Huyo ndizi kibosho wa mirembe hajawai kuwa na akili, pumbv zake hata uo uongoz inatia shaka kapata kwanjia za ushirikina, si wakumuamn huy mtu.

Anataka kujipa mamlaka yasio yake, anataka kushindana na akinagwaji waliowashinda kina makonda na wapuuz wengine kama kina diamond, huyu spika bovu hapo mjengon si lolote humo, dawa yake inakuja
 
Kwahiyo unataka kusema kwa maelezo ya Rais kwa wananchi wa Tanzania spika anaweza kuweka masharti yake juu ya mwongozo huohuo wa Rais tena yanayo kinzana? Hata wewe pia huelewi sawasawa juu ya coordinating ya pillars hizi
Anautani huyo jamaa
 
NB. MSIUNGANISHE NA UZI MWINGINE HUU UNA HOJA ZAKE KUU 2.

Rais Samia Suluhu alisema chanjo ni Hiyari. Ndugai anasema hakuna cha Uhiyari ni Lazima watu wachanjwe (wabunge) huu ni utovu wa Nidhamu inaonekana kama sasa kila mtu anajiongelea anavyotaka.

Hapa naona afadhali hata akina Gwajima na Polepole hawa walisema watu wachanjwe ila wao hawachanji.

Ndugai anasema kabisa lazima wachanjwe. Je huu ni mkanganyiko?

LAKINI PIA KAMA WABUNGE WENGINE WAMECHANJWA. WATAAMBUKIZWAJE NA HAWA WASIO CHANJWA?

Screenshot_20210813-132723~2.png
 
NB. MSIUNGANISHE NA UZI MWINGINE HUU UNA HOJA ZAKE KUU 2.

Rais Samia Suluhu alisema chanjo ni Hiyari. Ndugai anasema hakuna cha Uhiyari ni Lazima watu wachanjwe (wabunge) huu ni utovu wa Nidhamu inaonekana kama sasa kila mtu anajiongelea anavyotaka....
Mshana alishaweka uzi wa hiari ya lazima
 
Ni katika kulinda afya ya wabunge wetu watukufu ndio maana tunafukuza wasiochanja. Kila baada ya masaaa 48 walete matokeo ya vipimo negative vya Covid kwa gharama yao, ndio waingie Bungeni, bila hivyo wasiingie.

Hili pia soon linaanza maofisini.
Hakuna uhiari kama unahatarisha maisha ya wenzako. La si hivyo jifungie kwako.
Mbona haileti maana kwa sababu hata hao waliyochanjwa pia wanaweza kuwa na maambukizi na kuweza kuambukiza katika hilo hakuna tofauti kwa aliyechanjwa na asiyechanjwa.
 
Back
Top Bottom