Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Wewe uliyechanja hutakiwi kuwa nasi tusiochanja ka jilock down .Na kuji I solate.Wewe Kama mvaa barakoa ukiona umati hawana barakoa wewe ndio unatakiwa kukimbia Kama umefumaniwa kuwakimbia umati usiovaa barakoa Wala social distance....
Ni katika kulinda afya ya wabunge wetu watukufu ndio maana tunafukuza wasiochanja. Kila baada ya masaaa 48 walete matokeo ya vipimo negative vya Covid kwa gharama yao, ndio waingie Bungeni, bila hivyo wasiingie.
Hili pia soon linaanza maofisini.
Hakuna uhiari kama unahatarisha maisha ya wenzako. La si hivyo jifungie kwako.