Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha matusi dadangu....
Kama una stress za kuletewa nyumba ndogo, unachotakiwa kufanya ni kumshitaki mumeo kwa mshenga wake, na ukishindwa, fikisha malalamiko kwa wazazi, or else, keep doing what you love most 👇 👇 👇👇
Aah wapi.! Tangawiz, kitunguu swaumu, majani ya mti ulaya, pilipili + Maombi vinanifaa sana.Choma chanjo wewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huko ufaransa kuanzia julai mwaka huu bila chanjo huruhusiwi kuuza wala kununua super markets, huruhusiwi kutumia public transport, nk! Inafanana kabisa na maelezo ya Biblia kuhusu mpinga Kristo!!Anayelinganisha Chanjo ya covid-19 na mpinga Kristo ni mchanga sana KirohoHayajui maandiko na anasoma biblia kama noval na si kwa msaada wa "Roho Mtakatifu"
Atakuja kujua mwenye baadaye kidogo kwamba alijipotosha na kuposha watu.