Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
F,,cking Utopolo... kutoka kwenye simu za washamba wa mtandao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Aah wapi.! Tangawiz, kitunguu swaumu, majani ya mti ulaya, pilipili + Maombi vinanifaa sana.
nyie ndio madalali wa ushoga hatuwataki huku ndani ya nchi yetuKama una ushoga ni shoga tu,msisingizie chanjo...Haya ARV hazisababishi ushoga?
MS. JUHA IN THE MAKING.Hii itakuwa comment yangu ya mwisho kukujibu dogo.
Maana najua ushapaniki kuona Bombadier inakuja kesho (urithi wa Magufuli huo!)...
Kadri watu wanavyozidi kuchanjwa hizo chanjo na corona yenyewe inavyokwenda ndio tunazidi kujua zaidi kuhusu hizo chanjo, kwa maana ndio tunajua ipi yenye ufanisi zaidi ipi yenye kufaa kwa variant ipi na kama unavyojua pia kuna wakati baadhi ya nchi zilithitisha chanjo ya Astrazeneca kwa madai ya kugandisha damu.Habari. Humu ndani nimeona walio na mashaka njuu ya chanjo ya Corona ni wengi kuliko wenye imani nayo. Wale wanaosema mimi sichanjwi ni wengi sana. Naomba kujua kwanini watu wanasema hawatachanjwa?
Soma biblia vizuri mkuu.Fanya hivi; Muombe Mungu akusaidie kwenda kwa "Roho na Maarifa/akili"Huko ufaransa kuanzia julai mwaka huu bila chanjo huruhusiwi kuuza wala kununua super markets, huruhusiwi kutumia public transport, nk! Inafanana kabisa na maelezo ya Biblia kuhusu mpinga Kristo!!
Panya wenyewe ndio sisi na wale uliona wakichanjwa..Hakuna cha chanjo salama hapa! Wangeanza na panya kwanza!
Narudi kuishi kwenye mapangoNatamani sana kupata chanjo lakini bado naendelea kuangalia upepo na kamwe siwezi kuanza kuwaambia wengine wasiende kuchanjwa itakuwa nawafanyia maamuzi,kama unahitaji chanjo nenda usiangalie watu wanaongea nini. Kama halmashauri yako ya kichwa na moyo vimekubaliana, timiza tu achana na maneno ya watu.
Bandiko hili ni maoni yangu binafsi, silazimishi kunifuata.
Nampongeza Rais pia kwa kuwajali wananchi wake.
Kwanza: Kwa mujibu wa wataalamu tulisikia kitaalamu kuwa mpaka kukamilika kwa chanjo lazma ifanyiwe uchunguzi iki kujiridhisha kwa zaidi ya miaka 15.
Pili: chanjo ya kwanza kutoka ilikuwa ni AstraZeneca na madhara yaliyotajwa mwanzoni ni kugandisha damu. Baada ya visa kadhaa nchi nyingi zilisimamisha utoaji wa chanjo hiyo, hata Kenya kuna kisa kilitokea lakini kilivirigwa.
Tatu: kuna ripoti kadha zinadaiwa pia hii chanjo ya J&J sio nzuri sana, nchi kama SA, Canada na hata jimbo 1 la US limeikataa sababu sio imara.![]()
Je chanjo ya AstraZeneca ni salama? – DW – 08.04.2021
Nchi mbali mbali za ulimwengu zaonesha mashaka kuelekea chanjo dhidi ya virusi vya Corona ya AstraZeneca kufuatia wasiwasi wa athari ya damu kuganda inayotajwa huenda inatokana na chanjo hiyom.dw.com
View attachment 1873860
Chanjo pekee ambayo sijasikia ikilaumiwa au ikitiliwa shaka ni Pfaiza, kama serikali ingeleta hiyo wengi tungechangamkia sana.
MWISHO: Watanzania kaeni kabisa mkijua chanjo itakuja kuwa ni lazima tu kwa watu.
Angalia ilivyoanza kitambulisho cha NIDA na baadae ilikuwaje.
Note hiyo,baadae unaweza kupelekwa hospitali ukadaiwa Cheti cha chanjo,kama huna unaambiwa nenda hospitali nyingine. Achilia mbali ya kusafiri nje ya nchiDah! Hapo MWISHO umenifanya nitafakari sana