#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
Hii itakuwa comment yangu ya mwisho kukujibu dogo.

Maana najua ushapaniki kuona Bombadier inakuja kesho (urithi wa Magufuli huo!)...
MS. JUHA IN THE MAKING.

Legacy.png
 
natumaini mu wazima ndugu zangu watanzania jana nimepata kuonana na daktari bingwa wa afya za watoto nilikuwa nimepleleka mwanangu alikuwa anasumburiwa na masikio na mafua,sasa baada ya kuandikiwa dawa nkamuomba ushauri daktari kuhusu chanjo ya corona.

daktari akasema maamuzi ya kuchanja ni yako unahiari yakukataa au kukubali ila kabla yayote ujue zinafanyage kazi ndio ufanye maamuzi. basi akaanza kunifundisha hizi chanjo nyingi ni za sayansi mpya ambayo haijafanyiwa utafiti wa kutosha kujua athari zake.aliniambia mengi ila nachokumbuka ni kuwa zinauezo wa kuingia kwenye seli ya mwili wa binadamu na kuipa maelekezo ya kutengeneza hiyo wanaita kinga ila shida inaanzis hapo zinaeza kutoa maelekezo yasieleweke na mwili au zikatoa maelekezo yakudhulu mwili mfano watu kuganda damu, kubadili joto mwili, kubadili tabia na hata kuelekeza sehemu za uzazi zifeli kama mayai yanayolutubishwa yasikubaliane na mbegu yoyote au mbegu iharibu yai na kusababisha kukosa mimba.

na pia hayo mafailiki tutarithisa watoto wetu ndio itakuwa mwanzo wa binadamu wapya watakao kuwa na matatizo yasioisha na huo ndio mradi wa kampuni zinaitwa big pharma.ndio maan wapo tayari hat kutugaia chanjo bule. aliniambia hivyo vyote vinaezekana na nisipuuze wale wanaotuonya lisemwalo lipo njiani linakuja au limeshafika.mwishoni niliiuliza swali langu kama kuchanja ni sawa au kosa akasema kama huna mtoto au unataka kuongeza watoto basi ni bola utulie kwanza waendelee kuangalia matokeo ya hizo chanjo kwa sababu hakuna tafiti za kutosha.
 
Habari. Humu ndani nimeona walio na mashaka njuu ya chanjo ya Corona ni wengi kuliko wenye imani nayo. Wale wanaosema mimi sichanjwi ni wengi sana. Naomba kujua kwanini watu wanasema hawatachanjwa?
Kadri watu wanavyozidi kuchanjwa hizo chanjo na corona yenyewe inavyokwenda ndio tunazidi kujua zaidi kuhusu hizo chanjo, kwa maana ndio tunajua ipi yenye ufanisi zaidi ipi yenye kufaa kwa variant ipi na kama unavyojua pia kuna wakati baadhi ya nchi zilithitisha chanjo ya Astrazeneca kwa madai ya kugandisha damu.

Kwa hiyo nadhani watu wengine bado wanajipa muda zaidi wa kuangalia hali inavyokwenda kwenye hili zoezi la chanjo.
 
Huko ufaransa kuanzia julai mwaka huu bila chanjo huruhusiwi kuuza wala kununua super markets, huruhusiwi kutumia public transport, nk! Inafanana kabisa na maelezo ya Biblia kuhusu mpinga Kristo!!
Soma biblia vizuri mkuu.Fanya hivi; Muombe Mungu akusaidie kwenda kwa "Roho na Maarifa/akili"
 
Natamani sana kupata chanjo lakini bado naendelea kuangalia upepo na kamwe siwezi kuanza kuwaambia wengine wasiende kuchanjwa itakuwa nawafanyia maamuzi,kama unahitaji chanjo nenda usiangalie watu wanaongea nini. Kama halmashauri yako ya kichwa na moyo vimekubaliana, timiza tu achana na maneno ya watu.

Bandiko hili ni maoni yangu binafsi, silazimishi kunifuata.

Nampongeza Rais pia kwa kuwajali wananchi wake.

Kwanza: Kwa mujibu wa wataalamu tulisikia kitaalamu kuwa mpaka kukamilika kwa chanjo lazma ifanyiwe uchunguzi iki kujiridhisha kwa zaidi ya miaka 15.

Pili: chanjo ya kwanza kutoka ilikuwa ni AstraZeneca na madhara yaliyotajwa mwanzoni ni kugandisha damu. Baada ya visa kadhaa nchi nyingi zilisimamisha utoaji wa chanjo hiyo, hata Kenya kuna kisa kilitokea lakini kilivirigwa.

Tatu: kuna ripoti kadha zinadaiwa pia hii chanjo ya J&J sio nzuri sana, nchi kama SA, Canada na hata jimbo 1 la US limeikataa sababu sio imara.

Screenshot_20210730_120637.jpg

Chanjo pekee ambayo sijasikia ikilaumiwa au ikitiliwa shaka ni Pfaiza, kama serikali ingeleta hiyo wengi tungechangamkia sana.

MWISHO: Watanzania kaeni kabisa mkijua chanjo itakuja kuwa ni lazima tu kwa watu.

Angalia ilivyoanza kitambulisho cha NIDA na baadae ilikuwaje.
 
Hakuna cha chanjo salama hapa! Wangeanza na panya kwanza!
 
View attachment 1873860

Chanjo pekee ambayo sijasikia ikilaumiwa au ikitiliwa shaka ni Pfaiza, kama serikali ingeleta hiyo wengi tungechangamkia sana.

MWISHO: Watanzania kaeni kabisa mkijua chanjo itakuja kuwa ni lazima tu kwa watu.

Angalia ilivyoanza kitambulisho cha NIDA na baadae ilikuwaje.
Narudi kuishi kwenye mapango
 
Back
Top Bottom