#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
Ufunuo 13:16-18

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

16 Pia mnyama wa pili aliwaamuru watu wote, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini, walio huru au watumwa, wawekewe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao. 17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)

18 Kila mwenye uelewa anaweza kujua maana ya namba ya mnyama. Hili linahitaji hekima. Namba hii ni namba ya mtu. Nayo ni 666.
Mmekuwa watumwa kiasi hiki bora wazungu waje kuendelea na utumwa maana hizi akili walizotuacha nazo baada ya kuja na dini yao hazitupeleki popote.
 
Hapo hujajibu hoja hata moja zaidi ya kudhihirisha upumbafu wako kwa kutukana!
We kima kweli... umesahau wewe ndo umeanza matusi?
Nikikuambia unaripoti au unakariri vitu usivyovijua unatoa povu!
Umejaa umbumbumbu na ndo maana hujui maana ya kukariri!!! Mtu aliyekuekea maelezo ya watalaamu na reference zake huwezi kusema anakariri!! Au hujui maana ya kukariri?
Swali ulishiriki ktk utafiti huo hata ukahakikisha kilichoripotiwa ndicho!
Angalia unavyouliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu!!! Umeishia darasa la ngapi?!
Or kwa upumbafu wako you are so naive to ignore unthinkable might have happened...cooking data!
Mimi ninayeongea kutokana na machapisho mbalimbali ya kitaalamu na wewe unayeongea kwa kumsikiliza Mchungaji asiye na utaalamu kwenye masuala ya tiba; ni nani mpumbavu kati yetu? Au ulitaka hadi nisisitize kukuita mpumbavu ndipo uamini kwamba ni kweli mpumbavu?
Ndio ninyi BBC au CNN/ Aljazeera ikiripoti upumbafu kuhusu africa mnaamini na kuamini!
Angalia ulivyo mpumbavu! Unadhani sijaona maelezo ya hao BBC au CNN?!! Ungekuwa na akili ungejiuliza kwanini reference zangu zote ni kutoka kwenye vyanzo vya wataalamu wa field husika na sio vyombo vya habari!!
Nipe scientific evidence kuwa hiyo chanjo 5, 10, 30, etc haitakuwa na madhara weye mtafiti mkuu😜!?
Nikupe scientific evidence ipi kuhusu madhara wakati scientfic evidence imeshasema chanjo ni salama? Hivi una akili kweli wewe?
 
Mkuu Hadi umri ulionao hapo umechanjwa chanjo ngapi? Kuna ata chanjo moja Kati ya hizo zimetengenezwa Tanzania? Au kama Una watoto unajua wanapata chanjo ngapi na je waga unahoji au huu utambuzi wa kuhoji mnahoji chanjo ya Corona Tu?
Achana na ilo..
Hayo ndiyo ya nafanya tuitwe manyani.
Hapo kilipo lina chanjo ya ndui haijawai hoji..
Jinga sana
 
Mtu anapewaje alama hiyo ya mnyama-mwitu juu ya mkono na paji la uso wake? (Ufunuo 13:16)

Mungu alipolipatia taifa la Israeli amri, alisema hivi: ‘Myafunge kama ishara juu ya mkono wenu, nayo yatakuwa kama utepe wa kipaji katikati ya macho yenu.’ (Kumbukumbu la Torati 11:18)

Hilo halikumaanisha kwamba Waisraeli walipaswa kutia alama juu ya mikono na vipaji vyao kihalisi, bali kwamba maneno ya Mungu yangeongoza matendo na mawazo yao.

Vivyo hivyo, ingawa kihalisi nambari 666 haipaswi kuonwa kuwa kama chanjo au chale ambayo mtu amechorwa, kwa njia ya mfano wale ambao huruhusu mifumo ya kisiasa itawale maisha yao wanatambulishwa kwa alama hiyo ya huyo mnyama-mwitu.
 
Bi Maza tayari ameshapigwa mkuki uko,kwa aliye tayar achukue hatua Sasa,chanjo ni hiari
 
Unaandika ujinga tupu hujibu hoja zaidi ya kuonesha ushabiki wako wa kijinga kuhusu propaganda za kibeberu
Hoja ipi uliyoitoa ewe Juha Msukule wa Jiwe hata useme eti sijibu hoja?

Onesha hapa hoja uliyoitoa wewe na Misukule wenzako ambayo sijaielezea
 
We kima kweli... umesahau wewe ndo umeanza matusi?

Umejaa umbumbumbu na ndo maana hujui maana ya kukariri!!! Mtu aliyekuekea maelezo ya watalaamu na reference zake huwezi kusema anakariri!! Au hujui maana ya kukariri?

Angalia unavyouliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu!!! Umeishia darasa la ngapi?!

Mimi ninayeongea kutokana na machapisho mbalimbali ya kitaalamu na wewe unayeongea kwa kumsikiliza Mchungaji asiye na utaalamu kwenye masuala ya tiba; ni nani mpumbavu kati yetu? Au ulitaka hadi nisisitize kukuita mpumbavu ndipo uamini kwamba ni kweli mpumbavu?

Angalia ulivyo mpumbavu! Unadhani sijaona maelezo ya hao BBC au CNN?!! Ungekuwa na akili ungejiuliza kwanini reference zangu zote ni kutoka kwenye vyanzo vya wataalamu wa field husika na sio vyombo vya habari!!

Nikupe scientific evidence ipi kuhusu madhara wakati scientfic evidence imeshasema chanjo ni salama? Hivi una akili kweli wewe?
Huna jibu lolote hata tu la kumjibu huyo askofu Gwajima😜! Umekariri yaliyoripotiwa na wengine na kwa upumbafu wako uliopo kiwango cha dreamliner unakuja kujimwambafai kwa kujiona unajua, useless kabisa ww!
Eti walishasema chanjo zipo salama...we pungu kweli kwa utafiti gani huo...ulifanyika wapi na kwa level gani na kwa miaka mingapi ww pungu😂😂😂😜!?
Ww ni zaidi ya hafifu huwezi reason nami ndio maana kwaufinyu wako wa upeo unaishia kunitusi tu!? Jibu hoja, usijifiche kwenye machapisho udiyoweza hata kuyalinda dogo! Hii njaa mbona inawapereka mputamputa hivyo!
Hadungwi mtu hapa!
 
Umejaaa umbumbu ndo maana unang'ang'ania sijibu wakati kila kitu nimeeleza!!! Kama huelewi, that's not my problem

In short, wewe ni kilaza!!! Huna lolote unalojua, lakini kwavile ni Msukule wa Magu, na Magu alikuwa anapinga chanjo, nawe unapita humo humo kama zuzu vile... VERY STUPID!!
 
Mungu alipolipatia taifa la Israeli amri, alisema hivi: ‘Myafunge kama ishara juu ya mkono wenu, nayo yatakuwa kama utepe wa kipaji katikati ya macho yenu.’ (Kumbukumbu la Torati 11:18)
Hilo halikumaanisha kwamba Waisraeli walipaswa kutia alama juu ya mikono na vipaji vyao kihalisi, bali kwamba maneno ya Mungu yangeongoza matendo na mawazo yao.

Vivyo hivyo, ingawa kihalisi nambari 666 haipaswi kuonwa kuwa kama chanjo au chale ambayo mtu amechorwa, kwa njia ya mfano wale ambao huruhusu mifumo ya kisiasa itawale maisha yao wanatambulishwa kwa alama hiyo ya huyo mnyama-mwitu.
hii ndio pointi wala sio chanjo...wanapotosha sana maandiko hawa watu mwisho wa siku wanabaki wanashangazwa na kukosa mwelekeo
 
Hoja ipi uliyoitoa ewe Juha Msukule wa Jiwe hata useme eti sijibu hoja?

Onesha hapa hoja uliyoitoa wewe na Misukule wenzako ambayo sijaielezea
Ww ni zombie 😂 kabisa! Chochote hao 'wanasayansi' uchwara wako wakiripoti kwako kizombiezombie unafuatisha mlemle!? Yaani hilo fuvu lako nina shaka kama kuna kitu zaidi ya take recorder! Hakuna utafiti so far ulioonyesha beyond any reasonable doubt kuwa hivyo vichanjo uchwara vyao vya majaribio havitaleta mabalaa kwa wa wachanjwaji...maana utafiti huo ww zombie unahitaji miaka 10+ ww zombie record hiyo kisha irudie kizombiezombie!
Kwa kutokujua Sasa madhara yanayoweza kutokea ndio maana mchanjwaji anapaswa kujaza fomu ya kutomlaumu yeyote hata serikali ili yatakapokukuta baada ya chanjo usiende dai fidia ww zombie, yarecord kwenye fuvu lako kisha uyarudie kama unavyoyarudia ya hao mabeberu watafiti wako sawa zombie 😂😜!
 
Ww ni zombie 😂 kabisa! Chochote hao 'wanasayansi' uchwara wako wakiripoti kwako kizombiezombie unafuagisha mlemle!? Yaani hilo fuvu lako ni shaka kama kuna kitu zaidi ya take recorder! Hakuna utafiti so far ulioonyesha beyond any reasonable doubt kuwa hivyo vichanjo uchwara vyao vya majaribio havitaleta mabalaa kwa wa wachanjwaji...maana utafiti huo ww zombie unahitaji miaka 10+ ww zombie record hiyo kisha irudie kizombiezombie!
Kwa kutokujua Sasa madhara yanayoweza kutokea ndio maana mchanjwaji anapaswa kujaza fomu ya kutomlaumu yeyote hata serikali ili yatakapokukuta baada ya chanjo usiende dai fidia ww zombie, yarecord kwenye fuvu lake kisha uyarudie kama unavyoyarudia ya hao mabeberu watafiti wako sawa zombie 😂😜!
We kima,. una hoja ipi uliyotaja?! Usidhani nasoma hayo mataka taka unayoandika, kwa sababu nilishaona unaandka upumbavu tu! Kama una hoja yoyote ungeandika kwa mstari mmoja au miwili! Kama huna hoja, shut your fvck up?
 
Back
Top Bottom