#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
Natamani sana kupata chanjo lakini bado naendelea kuangalia upepo na kamwe siwezi kuanza kuwaambia wengine wasiende kuchanjwa itakuwa nawafanyia maamuzi,kama unahitaji chanjo nenda usiangalie watu wanaongea nini. Kama halmashauri yako ya kichwa na moyo vimekubaliana, timiza tu achana na maneno ya watu.

Bandiko hili ni maoni yangu binafsi, silazimishi kunifuata.

Nampongeza Rais pia kwa kuwajali wananchi wake.

Kwanza: Kwa mujibu wa wataalamu tulisikia kitaalamu kuwa mpaka kukamilika kwa chanjo lazma ifanyiwe uchunguzi iki kujiridhisha kwa zaidi ya miaka 15.

Pili: chanjo ya kwanza kutoka ilikuwa ni AstraZeneca na madhara yaliyotajwa mwanzoni ni kugandisha damu. Baada ya visa kadhaa nchi nyingi zilisimamisha utoaji wa chanjo hiyo, hata Kenya kuna kisa kilitokea lakini kilivirigwa.

Tatu: kuna ripoti kadha zinadaiwa pia hii chanjo ya J&J sio nzuri sana, nchi kama SA, Canada na hata jimbo 1 la US limeikataa sababu sio imara.

View attachment 1873860

Chanjo pekee ambayo sijasikia ikilaumiwa au ikitiliwa shaka ni Pfaiza, kama serikali ingeleta hiyo wengi tungechangamkia sana.

MWISHO: Watanzania kaeni kabisa mkijua chanjo itakuja kuwa ni lazima tu kwa watu.

Angalia ilivyoanza kitambulisho cha NIDA na baadae ilikuwaje.
Tukiweka mambo mengine pembeni; the truth is hizi chanjo simeanza kutumika kwa muda mfupi sana kabla ya kuwa na taarifa za kutosha na kina kuhusiana haswa na suala ta Usalama/Safety mbali ya mambo mengine yanayohitajika kabla ya dawa kuanza kutumika kwa binadamu.
 
Natamani sana kupata chanjo lakini bado naendelea kuangalia upepo na kamwe siwezi kuanza kuwaambia wengine wasiende kuchanjwa itakuwa nawafanyia maamuzi,kama unahitaji chanjo nenda usiangalie watu wanaongea nini. Kama halmashauri yako ya kichwa na moyo vimekubaliana, timiza tu achana na maneno ya watu.

Bandiko hili ni maoni yangu binafsi, silazimishi kunifuata.

Nampongeza Rais pia kwa kuwajali wananchi wake.

Kwanza: Kwa mujibu wa wataalamu tulisikia kitaalamu kuwa mpaka kukamilika kwa chanjo lazma ifanyiwe uchunguzi iki kujiridhisha kwa zaidi ya miaka 15.

Pili: chanjo ya kwanza kutoka ilikuwa ni AstraZeneca na madhara yaliyotajwa mwanzoni ni kugandisha damu. Baada ya visa kadhaa nchi nyingi zilisimamisha utoaji wa chanjo hiyo, hata Kenya kuna kisa kilitokea lakini kilivirigwa.

Tatu: kuna ripoti kadha zinadaiwa pia hii chanjo ya J&J sio nzuri sana, nchi kama SA, Canada na hata jimbo 1 la US limeikataa sababu sio imara.

View attachment 1873860

Chanjo pekee ambayo sijasikia ikilaumiwa au ikitiliwa shaka ni Pfaiza, kama serikali ingeleta hiyo wengi tungechangamkia sana.

MWISHO: Watanzania kaeni kabisa mkijua chanjo itakuja kuwa ni lazima tu kwa watu.

Angalia ilivyoanza kitambulisho cha NIDA na baadae ilikuwaje.
Ni mkwl mkuu hyo faiza ni nzr na salama zaidi.
SAUDIA 99% wanachanja hiyo .

Na hawa jamaa kuchanja ni lazima,,vinginevyo huna kazi,
Mm bado nafikiria nichanje au nirudi nyumbani..
 
J&J ni ya bure
Ya kuletewa mpaka mlangoni
Wachanjaji watalipwa Shs 2mil per month na donor
Najiuliza hii huruma gani?
Dah, isije ikawa huu mgomo wa wanainchi kukataa kuchanja ni sababu ya wachanjaji kupewa pesa nyingi.

Ngoja tuone Donner wakisema anayechanjwa atakula 200000 tuone kama bado watu watagoma kuchanja.
 
Maoni ya wataalamu mambo ya chanjo wanasema "hakuna hitaji la kisayansi la kusema chanjo lazima ichukue miaka 5 au 10" .
1.Kulikuwa na uelewa wa hii virus tayari na walijuwa wanaelewa kwa asilimia kubwa
(Researchers were not starting from scratch when they learned about SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19.
SARS-CoV-2 is a member of the coronavirus family.) Corona viruses wapo wengi,ni pamoja wale walosababisha SARS(2002) na MERS(2012) ivo ma doctor walikuwa na data za kutosha,kwa ufupi watu wamekuwa wanawasoma corona viruses kwa miaka ZAIDI ya 50.

(Dr. Eric J. Yager, an associate professor of microbiology at Albany College of Pharmacy and Health Sciences in Albany, NY, told MNT that scientists have been studying coronaviruses for over 50 years. This meant scientists had existing data on the structure, genome, and life cycle of this type of virus)

2.WORLDWIDE COLLABORATION.
-Corona ni pandemic na iliumiza dunia nzima ivo mataifa mengi ambayo huwa kwa kawaida wanafichiana elimu zao ilibidi tu watoe data zao ili washirikiane kupata suluisho.ivo waliweka ubabe pembeni ili kunusurika.
3. FUNDING;Kawaida kunakuwaga na research nyingi zinaendelea ivo kupata pesa inakuwaga tabu na hili ni moja ya sababu research wakati mwengine kusimama au kushindikana, corona ilipokuja pesa zilitolewa kiraisi na kufanya zoezi liende kwa kasi.

4.MATATIZO YA ASTRAZENICA na j&j.
Hili watu wengi wameliongelea lakini naona bado wengi limewapita, zote zilisimamishwa kwa mda na zote baadae zikaruhusiwa na zote bado zinatumika.Matatizo ya kuganda damu ni 'very rare' kuliko faida zake.
Unabidi ikumbukwe wazungu wametengeneza chanjo kwa sababu walidhurika sana na wengi walikufa na uchumi kuporomoka,ivo kwao kupata chanjo ni good news ,hata kama wangekuwa wanakufa 10 kwenye watu elfu chanjo zingeendelea sababu its all about survival!
Corona ipo,inaua na haina dawa kama hutaki kuchanja ni haki yako ila tafuta njia mbadala ya kujikinga sababu corona haijaondoka tutakuwa nayo sana tu,na kuna uwezekano mkubwa kuja kwa vatiant nyingine ambayo inaweza kuwa deadly kuliko delta.

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Nimemsikia Biden akiagiza majimbo yatoe 100$ kila atakaechanjwa
 
Natamani sana kupata chanjo lakini bado naendelea kuangalia upepo na kamwe siwezi kuanza kuwaambia wengine wasiende kuchanjwa itakuwa nawafanyia maamuzi,kama unahitaji chanjo nenda usiangalie watu wanaongea nini. Kama halmashauri yako ya kichwa na moyo vimekubaliana, timiza tu achana na maneno ya watu.

Bandiko hili ni maoni yangu binafsi, silazimishi kunifuata.

Nampongeza Rais pia kwa kuwajali wananchi wake.

Kwanza: Kwa mujibu wa wataalamu tulisikia kitaalamu kuwa mpaka kukamilika kwa chanjo lazma ifanyiwe uchunguzi iki kujiridhisha kwa zaidi ya miaka 15.

Pili: chanjo ya kwanza kutoka ilikuwa ni AstraZeneca na madhara yaliyotajwa mwanzoni ni kugandisha damu. Baada ya visa kadhaa nchi nyingi zilisimamisha utoaji wa chanjo hiyo, hata Kenya kuna kisa kilitokea lakini kilivirigwa.

Tatu: kuna ripoti kadha zinadaiwa pia hii chanjo ya J&J sio nzuri sana, nchi kama SA, Canada na hata jimbo 1 la US limeikataa sababu sio imara.

View attachment 1873860

Chanjo pekee ambayo sijasikia ikilaumiwa au ikitiliwa shaka ni Pfaiza, kama serikali ingeleta hiyo wengi tungechangamkia sana.

MWISHO: Watanzania kaeni kabisa mkijua chanjo itakuja kuwa ni lazima tu kwa watu.

Angalia ilivyoanza kitambulisho cha NIDA na baadae ilikuwaje.
sasa wewe ungetulia ungepukiwa nini..kila mtu atabeba mzigo wake mbona wewe unaonyesha watu mzigo wako hiyo ni sifa mbaya..kama hutaki unatulia sawa!
 
Maoni ya wataalamu mambo ya chanjo wanasema "hakuna hitaji la kisayansi la kusema chanjo lazima ichukue miaka 5 au 10" .
1.Kulikuwa na uelewa wa hii virus tayari na walijuwa wanaelewa kwa asilimia kubwa
(Researchers were not starting from scratch when they learned about SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19.
SARS-CoV-2 is a member of the coronavirus family.) Corona viruses wapo wengi,ni pamoja wale walosababisha SARS(2002) na MERS(2012) ivo ma doctor walikuwa na data za kutosha,kwa ufupi watu wamekuwa wanawasoma corona viruses kwa miaka ZAIDI ya 50.

(Dr. Eric J. Yager, an associate professor of microbiology at Albany College of Pharmacy and Health Sciences in Albany, NY, told MNT that scientists have been studying coronaviruses for over 50 years. This meant scientists had existing data on the structure, genome, and life cycle of this type of virus)

2.WORLDWIDE COLLABORATION.
-Corona ni pandemic na iliumiza dunia nzima ivo mataifa mengi ambayo huwa kwa kawaida wanafichiana elimu zao ilibidi tu watoe data zao ili washirikiane kupata suluisho.ivo waliweka ubabe pembeni ili kunusurika.
3. FUNDING;Kawaida kunakuwaga na research nyingi zinaendelea ivo kupata pesa inakuwaga tabu na hili ni moja ya sababu research wakati mwengine kusimama au kushindikana, corona ilipokuja pesa zilitolewa kiraisi na kufanya zoezi liende kwa kasi.

4.MATATIZO YA ASTRAZENICA na j&j.
Hili watu wengi wameliongelea lakini naona bado wengi limewapita, zote zilisimamishwa kwa mda na zote baadae zikaruhusiwa na zote bado zinatumika.Matatizo ya kuganda damu ni 'very rare' kuliko faida zake.
Unabidi ikumbukwe wazungu wametengeneza chanjo kwa sababu walidhurika sana na wengi walikufa na uchumi kuporomoka,ivo kwao kupata chanjo ni good news ,hata kama wangekuwa wanakufa 10 kwenye watu elfu chanjo zingeendelea sababu its all about survival!
Corona ipo,inaua na haina dawa kama hutaki kuchanja ni haki yako ila tafuta njia mbadala ya kujikinga sababu corona haijaondoka tutakuwa nayo sana tu,na kuna uwezekano mkubwa kuja kwa vatiant nyingine ambayo inaweza kuwa deadly kuliko delta.

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Ufafanuzi huu unatia moyo kidogo... Kwa hiyo mkuu baada ya kusimamishwa na kuendelea kuna jambo kililorekebishwa ama ni kamari tu,ukiganda damu bahati mbaya kwako?
 
sasa wewe ungetulia ungepukiwa nini..kila mtu atabeba mzigo wake mbona wewe unaonyesha watu mzigo wako hiyo ni sifa mbaya..kama hutaki unatulia sawa!
Hili ni jukwaa huru,kila mtu yuko huru kutoa maoni yake. Kwa mfano ww ungetulia bila kucomment ungepungukiaa nini?
 
Back
Top Bottom