Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Wazanzibari hawana shukrani! Tanganyika iliwapa favours nyingi sana kwenye elimu na vitu kama hivi. Naamini Baba wa Taifa alipolitoa, ilikuwa katika kujaribu kuwasaidia kupata nyama. Tangu wamelitelekeza, leo ndo wamekumbuka! Wakwende zao huko!
Weka ushahidi wa hicho unachokisema
 
Huyu tumjibu au tumuache?
 
Angalizo tu; wachangiaji baadhi wajue hilo eneo limetolewa tangu enzi za Mwalimu. Wasije kufikiria ni awamu ya sita. Maana kuna wavivu wa kusoma history ya nchi ila wepesi kujadili history ya nchi wasiyoijua.🙏🙏🙏
Hayo ndiyo matatizo ya mikataba/makubaliano yasiyokidhi sheria. Kama kungekuwepo mkataba wa maandishi, leo hii hakungekuwa na haja ya mjadala. Vivyo hivyo, suala la bandari linahitaji mkataba ambao hautazua malumbano siku za usoni. Tayari tumeona si chini ya nchi tisa zilizofikishana mahakamani na DP World. Lazima tugutuke na kuchukua tahadhari zipaswazo.
 
Aliyewapa hayupo, waende wakamdai, hakuna kutoa ardhi hapa
Wewe vipi wakadai kitu ambacho tayari wanacho hilo shamba lipo na hao smz wanalitumia kwa kufundishia wanafunzi wa idara ya kilimo ya smz
 
Sasa kama alizaliwa miaka 56 iliyopita (1967); miaka 59 iliyopita (1964) alinusurika vipi kuuwawa ilhali kwa maelezo yako hakuwa amezaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…