Wana JF
Kama kuna wanawake Ngangali amepatikana kule chato, anadai wamekuwa wakiongoza Halmashauri nyingi muda mrefu, chadema iliongoza vijiji 16, , awajawai kuwafanyia wapinzani wao wana CCM, lakini hivi karibuni, Fundi Selemala samweli hamisi wa kanoni, kijiji cha msilale, mwenye kieleele ameondoa bendera yao na kuichukua kusikojulikana.
Wanamtambua kwa vija, kazini kwake mpaka anakoishi. amewasihi jeshi la police kushirikiana kumkamata na kurudisha bendera yao ama sivyo wataenda kwake na nguvu ya umma kuichukua kwa vyovyote vile. Mewataka CCM watoe sera zao sio kushusha bendela tu. Wasipoleta bendera watagawana majengo ya serikali wengine jera wengine muchuari
Aidha mwanamke huyo amesema kama CCM wanaweza waje kwake wakaichukue bendera ya chadema kama mtu ataondoka salama basi si yeye. Na akamtaka mkuu wa wilaya aisikilize video yake na sauti yake bila kupepesa macho ni yeye amesema si mwingine