Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Hala,fu mtu anasema CDM imekufa, nimempenda huyu mama anadai haki yake na anajua nini haki yake.

Wanaume wa CDM tunakosea wapi naona wanawake wako mbele sana. Haya maneno ni ujumbe kwa watawala wanaodhani watanzania watabaki makondoo siku zote - iko siku tutagawana mbao kama wanavyosema vijana wa mjini.

Naogopa sana kwa kweli nchi hii ikifikishwa huko na waodhani wana nguvu kuliko umma.
 
Eee kazi ipo kama ndo hivi? Ila mtu kama hiyu asiuwawe wala kudhurika tunaweza chafua amani.
 
Sisiimizi sijui sisi nini mnapopeleka watu mtakuja kijuta.
Haki ya Mungu naapa udhalimu wa namna yoyote unamwisho wake. Na mwisho wake sio mzuri.

Unafkir watu km hawa hawapo. Wapo sana. Wakilipuka km hawa kumi tu sisi nini sijui hamta enjoy mali zanu. Streets zote zitajaa watu km sisimizi. Na huo utakua mwisho wa udhalimu.

Hiki kitu sio lazima kitokee sasa hivi. It can take years. Even 30 years. Watoto wenu mnaowarithisa huu uonevu watakuja kujuta. Karma is a bitch. I tell ya
Nalog off.
 
Salary Slip mbona umei like hii post yangu
Kumbe unakubaliana na hii karma ya baadae eeh. Mbona kwa post nyingi nakuona hua una misbehave na kutetea kila kitu.
 
Lengo la uzi huu sio kupasha habari bendera za chadema zimeshushwa chato, bali lengo lake ni kuonyesha vitisho na mikwala ya watawala havisaidii kitu make bado kuna watu majasiri kama huyo mwanamama wanaoongea bila woga, kwa hiyo waachane na akina mbowe sababu upinzani tayari uko ndani ya mioyo ya wananchi wa chini kabisa, kwa hiyo kuangaika na akina mbowe ni kupoteza muda.
 
Wana JF

Kama kuna wanawake Ngangali amepatikana kule chato, anadai wamekuwa wakiongoza Halmashauri nyingi muda mrefu, chadema iliongoza vijiji 16, , awajawai kuwafanyia wapinzani wao wana CCM, lakini hivi karibuni, Fundi Selemala samweli hamisi wa kanoni, kijiji cha msilale, mwenye kieleele ameondoa bendera yao na kuichukua kusikojulikana.

Wanamtambua kwa vija, kazini kwake mpaka anakoishi. amewasihi jeshi la police kushirikiana kumkamata na kurudisha bendera yao ama sivyo wataenda kwake na nguvu ya umma kuichukua kwa vyovyote vile. Mewataka CCM watoe sera zao sio kushusha bendela tu. Wasipoleta bendera watagawana majengo ya serikali wengine jera wengine muchuari

Aidha mwanamke huyo amesema kama CCM wanaweza waje kwake wakaichukue bendera ya chadema kama mtu ataondoka salama basi si yeye. Na akamtaka mkuu wa wilaya aisikilize video yake na sauti yake bila kupepesa macho ni yeye amesema si mwingine
 
Huyo ndani ya siku tatu, atafanywa kitu mbaya

Hii sio nchi ya kuvimba
 
Tanzania Kuna Demokrasia bana hongera zake huyo mwanamke kwa kulithibitisha hilo
 
Back
Top Bottom