Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Kuna mtu ndani ya CHADEMA alimuagiza Mbowe alewe chakali kiasi cha kuhisi yuko kwenye chopa akaamua kuruka na parachute akaporomoka kwenye ngazi na kuumiza mguu? Mjinga akiamua kufanya ujinga wake hahitaji kuagizwa na mtu.
Porojo za aina hii zawafaa sana wa rika yako kule chekechea
 
Kwanza ni mpuuzi gani huyo alieweka bendera za walevi huko chato?
 
Pichani ni Wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya CHATO Mkoani Grits Wakipanda Kushusha Bendera za @ChademaTz leo.
Wameshusha na Kuchana:
IMG_20200618_215230.jpg

🔺Watakao anzisha Vita Sio Upinzani au Chadema Bali Ni CCM Wenyewe!
@VitusNkuna

Huu ni ushambaa mkubwa unafanyika na @ccm_tanzania https://t.co/o9S4chQryx
 
Back
Top Bottom