Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

Chadema wanapenda mihemko. Sasa wamelitia moto gari lao ili wapate la kuongea au vipi? Na mikoa mingine waliolala gesti au
 
NAONA CHADEMA WAMESHAANZA KUFANYA MAMBO YAO YA KITOTO!
Ili kupata huruma kwa umma😁😁😁😁
Akili za kitoto sana hizi..
#Mtoa Mada umetuhumu direct/moja kwa moja, je Vyombo Vya uchunguzi vimeshafanya kazi yake juu ya tukio hilo? Kwa hao uliowatuhumu?/unaweza kuingizwa hatiani kwa tuhuma zisizo sahihi.
 
Mhe: Hayati wetu, kwa imani yake alikuwa ni mtu wa kuwaonea watu huruma. Huruma hiyo ya Mungu ndiyo inayomuongoza hadi leo huko aliko. Kwa mantiki hiyo Mhe: Lissu akifika pale kaburini ndio ataomba msamaha. Kwa huruma yake atamsamehe na hii itampa Marehemu wetu furaha. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie.
 
NAONA CHADEMA WAMESHAANZA KUFANYA MAMBO YAO YA KITOTO!
Ili kupata huruma kwa umma😁😁😁😁
Akili za kitoto sana hizi..
Kwenda kaburini kwa Kanumba tu hapo Kinondoni Watu wanafanyiwa Figisu ndio iwe kwenda kuchota Baraka kaburini kwa Shujaa Magufuli?!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯
 
Duu naona ni Kiki ya Kizamani sana. Wameona wakiingia hasara kutengeneza Kiki wamelitafuta Gari Bovu na Kulipiga Moto.
Na Hii Mbinu ya Kupita kwenye Nyumba za Watu na Nyumba za Kulala Wageni kujifanya nyie ni CCM lengo likiwa ni kutengeneza taharuki ni Mchezo wa Kitoto. Fanyeni Siasa, huo Upuuzi hautowasaidia Kitu.
 
Hakuna haja ya Lissu kwenda pale aachane nao
 
Vyombo vya uchunguzi vipi?
Vile vilivyo shindwa kutambua aliyenshambulia Lissu au vingine?
Cha msingi ni chadema kufanya uchunguzi wao na wakiishajiridhia hatua za kulipiza kisasi zichukulia mara moja
Ukicheka na kima utavuna mabua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…