Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
HatariBaada ya Tundu Lissu kusema afadhali sana Magufuli kuliko Rais Samia, na kuwa ataenda Chato kaburini kwake kuongea nae jinsi Samia alivyoharibu nchi, huko Chato ameonjeshwa ladha ya siasa za Kimagufuli baada ya gari alilokuwa akitumia kuchomwa moto
View attachment 2705914
Hakuna kitu kama hichoTuko kwenye kuiponya nchi, acha Kamanda aende. Tuvumilie tu.
Utaona wanakula teuzi chapNa nitashangaa sana kama hawa UVCCM Chato hawatashughulikiwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi na kuharibu mali kwa kuchoma moto.
Ndio Siasa za Wanaume Jasiri lazima ukaribishwe kiume 🔥🔥😄😂Baada ya Tundu Lissu kusema afadhali sana Magufuli kuliko Rais Samia, na kuwa ataenda Chato kaburini kwake kuongea nae jinsi Samia alivyoharibu nchi, huko Chato ameonjeshwa ladha ya siasa za Kimagufuli baada ya gari alilokuwa akitumia kuchomwa moto
View attachment 2705914
Ni hatari snShetani bado yupo kazini ktkl harakati za kuharibu kazi za watu wa Mungu.
Poleni sana CDM, poleni sana watetezi wa raslimali za nchi, Mola yupo na nanyi na shetani hajawi kuwashinda watu wa MUNGU>
Ukhoto We Sizwe kimtindoBaada ya Tundu Lissu kusema afadhali sana Magufuli kuliko Rais Samia, na kuwa ataenda Chato kaburini kwake kuongea nae jinsi Samia alivyoharibu nchi, huko Chato ameonjeshwa ladha ya siasa za Kimagufuli baada ya gari alilokuwa akitumia kuchomwa moto
View attachment 2705914
mzimu wa marehemu umechukizwa na mnafiki na mzindaki huyu..(kwa HIYO alikuwa anakwenda kumkejeli marehemu,wakati amefariki walijipongeza leo eti ndio wanakwenda kuhani,kama sio unafiki hii ni nini )Baada ya Tundu Lissu kusema afadhali sana Magufuli kuliko Rais Samia, na kuwa ataenda Chato kaburini kwake kuongea nae jinsi Samia alivyoharibu nchi, huko Chato ameonjeshwa ladha ya siasa za Kimagufuli baada ya gari alilokuwa akitumia kuchomwa moto
View attachment 2705914
Hata PhD ya Magufuli ilikuwa FEKI. Njoo na sababu nyingineKwani Binadamu siyo Mnyama?
Vyeti feki bhana 🤣
Shetani hajawahi kumshinda MunguGari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la kulichoma moto likiwa limepaki na magari mengine eneo la Twiga Lodge.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lillifika eneo la tukio na kuzima moto kabla hayajatokea madhara zaidi.
=====
Taarifa za awali, Gari ya matangazo (PA) M4C T 658 DQL niliyotangulia nayo kwaajili ya matangazo imenusurika kuteketea kwa moto baada ya ccm kufanya jaribio la kuichoma kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu usiku huu saa 1:10 Usiku.
Gari husika baada ya kumaliza mkutano uliofanyika Jimbo la Mbogwe jioni niliondoka nalo kuelekea chato na kuanza matangazo baada ya matangazo lilihifadhiwa TWIGA LODGE ambapo yapo magari ya watu tofauti zaidi ya matano (5) yaliohifadhi pia ila yote yako salama isipokuwa M4C ya chama.
Jeshi la zima moto na uokoaji lilifika eneo la tukio na kuzima moto husika kabla hayajatokea madhara zaidi.
Kinachoendelea sasa ni mimi, DJ Othuman na Dreva Ally kutafutwa hapa chato muda huu kila Lodge wanagonga chumba kwa chumba at wakisema ni zamu yetu kuchomwa moto.
Upuuzi huu unafanywa na Dola + Uvccm.
Yohana Kaunya
KM - Bavicha Taifa ,
Chief of staff Team ya Makamu Mwenyekiti chadema (Mhe. Tundu lissu)
Saa 1:30 Usiku (Chato)
02,Augost 2023.
________
View attachment 2705711
View attachment 2705712
View attachment 2705713