Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

Unajua maana ya Mosi? Mosi ni kwanza au moja.

Kwa maana hiyo Jumamosi ni siku ya kwanza. Sasa kwanini mnaiabudu siku ya kwanza badala ya siku ya saba ambayo ni Ijumaa?

Kwanini mnaiabudu siku badala ya Mungu?

Au ndio maagizo ya Helena?
 


Tatizo lenu, hamna mjualo ni Kwa namna gani Kanisa lenu Rumi limeanzishwa .


Lkn pia, Udogo wa uelewa wa maandiko ndio changamoto.


Suala la H.G.W kuanzisha Imani ya KISABATO , sio kwamba Kuabudu Sabato kulianza kwake

YESU alipokuja Duniani, aliikuta wayahudi wanaabudu Sabato, nakanisa la wakati lile, halikuwepo Cha Roma, Wala Angalikana, Wala SDA ..Kanisa LILIJULIKANA , "KANISA LA KRISTO"na Eneo la KANISA ...

Ukisoma Ufunuo... Utakutana na Kanisa la Laodokia, Kanisa la Efeso, Kanisa la Simrina ,Kanisa la Pergamo N.k .

mlivyo wanaa, wanawadanganya Et YESU KRISTO ALINZISHA KANISA LA RUMI🤣🤣🤣
 
Daktari wewe basi ni kilaza wa kutupwa.

Kuwa na athari hasi haimaanishi ndio kisitumiwe, kuna vitu vingapi unavyotumia vina athari hasi?

Itakuwa ni kibaya pale tu Madhara yake ni makubwa kuliko faida
 
kwani wanaume siku hizi wamekuaje jamani mara baba kambaka mwanae
 
Daktari wewe basi ni kilaza wa kutupwa.

Kuwa na athari hasi haimaanishi ndio kisitumiwe, kuna vitu vingapi unavyotumia vina athari hasi?

Itakuwa ni kibaya pale tu Madhara yake ni makubwa kuliko faida
Unaona ulivyo kiazi mbatata sasa , wewe ulishiwahi jiuliza Kwa mnywaji wa Pombe ,Huwa ni ngum Tena kuacha pombe na hatima yake Huwa ni Kuua Ini lake na mashida kedede? Sasa kipi Bora, kuacha kabisa au kuendelea kutumia ?.

Wee Kilaza kweli, Sigara simpaka wanawaandikia ni hatari Kwa Afya yako?. ..lkn simnavita Mdogo mdogo, matokeo yake Huwa ni yapi?.


Kiazi mbatata wewe !!.
 
Katekista itakua alisoma uzi wa kula kimasihara
 
Unajua maana ya Mosi? Mosi ni kwanza au moja.

Kwa maana hiyo Jumamosi ni siku ya kwanza. Sasa kwanini mnaiabudu siku ya kwanza badala ya siku ya saba ambayo ni Ijumaa?

Kwanini mnaiabudu siku badala ya Mungu?

Au ndio maagizo ya Helena?

Kwa maana hiyo, Jumapili...pili

Kwahiyo Jpl ni siku ya Pili???


Wewe unahisi Majina ya siku yalianza kutumia wakati gani ?.


Sasa ni hivi ili uelewe,, Siku Kwa mujibu wa Mungu mwenyewe , zinahesabika hata Leo Kwa KIYAHUDI ... Na katika KIYAHUDI, Siku ya Saba ni Yom Shabbat , Kingereza ni SATURDAY .


wabongo Saturday tukaiita Jumamosi , Sunday tukaita Jumapili.

Alafu, usipende kujibu masuala mazito Kwa majibu mepesi
 

Attachments

  • Screenshot_20220915_191213.jpg
    346.7 KB · Views: 2
Kumbuka kuna normal level ya Alcohol consumption ambayo haimweki mtu kwenye risk

We ni daktari kweli au [emoji848]
 
Hawa watu wangeruhusiwa waoe tu

Maana huko parokiani wanapeleka moto kwa kujificha
Kateksta siyo mtawa,anachaguliwa miongoni mwa waumin wa kanisa,is just a normal member,hii siyo ROHO ya kawaida,lazima kuna Ushirikina ndani yake [emoji24]
 
Kumbuka kuna normal level ya Alcohol consumption ambayo haimweki mtu kwenye risk

We ni daktari kweli au [emoji848]

Ndio maana nimekuita Kiazi mbatata

Achana na mambo ya kiwango gan Kwa siku, na aina gan ya pombe .

Wewe unahisi Kuna mnywaji wa Pombe anayeweza kumantain kiwango sahihi Cha unywaji wa Pombe ?, na hufaham habari za athari ya Pombe kwenye balance ya GABA na glutamate kumpelekea mnywaji kuifanya Pombe kua sehem yake siku zote ?.

Sikila mnywaji huanza na chupa Moja na huniapiza kunywa chini ya 2, Huwa wanaishia wapi?.


Kiazi wewe !!!
 
Hawa warumi , ni wabakaji sana, kuanzia Maaskofu mpaka kushuka huku chini ni wabakaji tu

Kila kukicha ni kesi kesi kesi.


HUWEZI KUTA, KUONGOZI WA KISABATO, ANA KESI KAMA HIII !!.
Hii dhambi haichagui dhehebu Acha kujitia uchizi
 
Kubishana na Msabato ni kupoteza tu muda kwa upande wangu. Maana mnajiona nyinyi ni watakatifu! kumbe ni bure tu.
Kisa hawali kitimoto na kambale na kusali jumamosi,wanajiona watakatifu Sana, wakati Sheria zingine za Musa hawazigusi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We daktari wewe ni takataka kabisa sijui umesoma wapi.

Anyway Kila kitu ni kiasi

Alcohol ni drugs kama drugs zinginge ambazo zina athari.

Mbona hatuachi kutumia dawa kisa zina Madhara?
 
Wapi pameandikwa YESU KRISTO alikua msabato? YESU aliponya watu Mpaka siku ya sabato mpaka mafarisayo wakakasirika, leo unatudanganya aliisika sabato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…